Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Hilda Newton hana mtu wa kumpigania ndani ya chama....HANA CONNECTION.
 

Chadema walishasema uchaguzi wa 2020 haukuwa halali, sasa watalamba matapishi yao wenyewe? Ikitokea wamelamba hayo matapishi basi nitasema huko kuna njaa kali sana kiasi kwamba wanatafuta ruzuku!
 
Hilda Newton hana mtu wa kumpigania ndani ya chama....HANA CONNECTION.
Hilda Newton kazi anayowafanyia Chadema mitandaoni ingekuwa ni kumlipa angekuwa tajiri sana! Hopefully , watu progressive kama Heche, Sugu na Msigwa, watakuwa wameona contribution yake mitandaoni na kumsemea. Hao mabibi wanaotaka kuwarudisha bungeni wawaache wakalee wajukuu zao! Hamuoni wenzenu walivyoleta vijana bungeni?
The party has to change with the times.
 
Mkuu CCM watakupa lini,zawadi na wewe
Sema moderators nao walitakiwa waweke jukwaa la tetesi

Anyway mimi nasubiri kwa hamu kama kweli Chadema itateua wabunge viti maalumu wapya !!

Nina peni na karatasi niOne kama list itakuwa na sura ya kitaifa au itajaza akina Manka!! Toka kilimanjar
 
ichi chama inabidi kife tu mana .
 
Waislamu, wako wachache
Mwenyekiti - samia suluhu hassan
makamu mwenyekiti/bara - Abdulrahmani kinana
makamu m/kiti visiwani - hussein ally mwinyi/ally mohamed shain
Katibu mwenezi shaka hamdu shaka
Katibu mkuu - Daniel chongolo
Naibu katibu mkuu Alhaji ?????
 
Hahaha siasa sio kama unavyoifikiri, na nyinyi mnaoamini katika uropokaji wa mitandaoni ndio mliokuwa die hard fans wa Kigogo😀.

Kwenye siasa za tz, Hilda ni nzi tu.
 
Hahaha siasa sio kama unavyoifikiri, na nyinyi mnaoamini katika uropokaji wa mitandaoni ndio mliokuwa die hard fans wa Kigogo😀.

Kwenye siasa za tz, Hilda ni nzi tu.
Wenzenu wanatumia hao nzi kuwa piga nao nyie mkihangaika na mabibi zenu!! Ndio maana wanawaita SACCOS kwani hamna KPIs kwenye maamuzi yenu!
 
Kwahiyo Pamella Maasay ataachia kule EALA kwenye 'ulaji' zaidi? Vipi Hadija Mwago, Aliyekuwa Mgombea Ubunge Mbagala? Hii Orodha haiko sawa! Mwandishi ana ajenda zake.
Ni propaganda kupima upepo tu!!! Yaani utimue walioenda bungeni then uteue wanaoenda bunge lile lile wanaloliita haramu? Itakua double standards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…