Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

You must be old fashioned! Huyo Newton amekisaidia sana Chadema kwa kazi anayo fanya mitandaoni kuliko hao Mabibi wengi wabunge wa zamani waliochoka
If you are serious you cannot pick Susan Lyimo or Grace Kiwelu or Ruth Mollel not to mention Mukya AND leave out NEWTON! This is the digital age you need young and energetic parliamentarians and not old grandmothers!
Hilda Newton hana mtu wa kumpigania ndani ya chama....HANA CONNECTION.
 
Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.

Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.

Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.

Chadema walishasema uchaguzi wa 2020 haukuwa halali, sasa watalamba matapishi yao wenyewe? Ikitokea wamelamba hayo matapishi basi nitasema huko kuna njaa kali sana kiasi kwamba wanatafuta ruzuku!
 
Hilda Newton hana mtu wa kumpigania ndani ya chama....HANA CONNECTION.
Hilda Newton kazi anayowafanyia Chadema mitandaoni ingekuwa ni kumlipa angekuwa tajiri sana! Hopefully , watu progressive kama Heche, Sugu na Msigwa, watakuwa wameona contribution yake mitandaoni na kumsemea. Hao mabibi wanaotaka kuwarudisha bungeni wawaache wakalee wajukuu zao! Hamuoni wenzenu walivyoleta vijana bungeni?
The party has to change with the times.
 
Mkuu CCM watakupa lini,zawadi na wewe
Sema moderators nao walitakiwa waweke jukwaa la tetesi

Anyway mimi nasubiri kwa hamu kama kweli Chadema itateua wabunge viti maalumu wapya !!

Nina peni na karatasi niOne kama list itakuwa na sura ya kitaifa au itajaza akina Manka!! Toka kilimanjar
 
Nakubaliana na wewe 100% itakuwa dhambi kubwa kuwaacha Hawa chipukizi Hilda Newton na Upendo Peneza. Msifamye makosa ya kuwajaza hao wabunge wa zamani waliozeeka na wengi wakitokea kanda ya Kaskazini ; mtaua chama. Jaribuni kupata balance ya wazee na vijana na pia balance ya Kanda to have harmony!
ichi chama inabidi kife tu mana .
 
Waislamu, wako wachache
Mwenyekiti - samia suluhu hassan
makamu mwenyekiti/bara - Abdulrahmani kinana
makamu m/kiti visiwani - hussein ally mwinyi/ally mohamed shain
Katibu mwenezi shaka hamdu shaka
Katibu mkuu - Daniel chongolo
Naibu katibu mkuu Alhaji ?????
 
You must be old fashioned! Huyo Newton amekisaidia sana Chadema kwa kazi anayo fanya mitandaoni kuliko hao Mabibi wengi wabunge wa zamani waliochoka . Mitandao ndio njia ya mawasiliano ya dunia ya leo!
If you are serious you cannot pick Susan Lyimo or Grace Kiwelu or Ruth Mollel not to mention Mukya AND leave out HILDA NEWTON! This is the digital age you need young and energetic parliamentarians and not old grandmothers!
Hahaha siasa sio kama unavyoifikiri, na nyinyi mnaoamini katika uropokaji wa mitandaoni ndio mliokuwa die hard fans wa Kigogo😀.

Kwenye siasa za tz, Hilda ni nzi tu.
 
Hahaha siasa sio kama unavyoifikiri, na nyinyi mnaoamini katika uropokaji wa mitandaoni ndio mliokuwa die hard fans wa Kigogo😀.

Kwenye siasa za tz, Hilda ni nzi tu.
Wenzenu wanatumia hao nzi kuwa piga nao nyie mkihangaika na mabibi zenu!! Ndio maana wanawaita SACCOS kwani hamna KPIs kwenye maamuzi yenu!
 
Kwahiyo Pamella Maasay ataachia kule EALA kwenye 'ulaji' zaidi? Vipi Hadija Mwago, Aliyekuwa Mgombea Ubunge Mbagala? Hii Orodha haiko sawa! Mwandishi ana ajenda zake.
Ni propaganda kupima upepo tu!!! Yaani utimue walioenda bungeni then uteue wanaoenda bunge lile lile wanaloliita haramu? Itakua double standards
 
Back
Top Bottom