Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Wale wale akina Joyce Mukya, Owenya, Suzan Lyimo,!!!!!!!. Wangewapa wale ambao waligombea kwenye majimbo badala ya kuwapa hawa hawa wa kawaida!!! Mbowe ni kiongozi ambaye anaheshimika asifanye kosa la kumpa Ubunge Joyce Mukya; atasambaratisha chama.
 

Sio kuonesha anaipenda CHADEMA lakini anaitetea sana mitandaoni kwa kujitolea!! Wewe unajua ccm wanatumia fedha ngapi kuwalipa wale chawa wao ili wawatetee udhalimu wao? Dunia ya leo bila kuwa na skills set ya mitandao aliyonayo huyo Hilda Newton huwezi kutoboa!! Huyu mama ni hazina kubwa sana kwa CHADEMA msimtupe.
 

Huwezi kumfananisha Hilda Newton na hao wabibi wazee wakina Grace Kiwelu, Ruth Mollel, Lyimo na hao wengine waliokuwa wabunge zamani; huyu binti ni ICT literate skill ambayo itamfanya awe mbunge effective; waacheni hao mabibi wakacheze na wajukuu zao! Ukiwa na wabunge vijana kama Upendo Peneza Na Hilda Newton you are bound to get fresh ideas.
 
Chama cha kikristu
Na hiki kitakuwa chama cha dini gani.

Mwenyekiti - SSM - Mwislam
M/mwenyekiti/bara - kinana - Mwislam
M/Kiti visiwani - hussein mwinyi - Mwislam
Katibu mwenezi shaka - Mwislam
Katibu mkuu - Daniel chongolo
Naibu katibu mkuu Alhaji - Mwislam
 
Hawa Chadema si walikataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020, iweje leo wanapeleka majina kwenye bunge haramu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…