Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mm sina wivu wala siumii Joyce kuchaguliwa kuwa viti maalumu.Ukimaliza zamu yako utanistua
Ww unayeumia ndio njoo umpe raha mwenyekiti nawe uchaguliwe viti maalumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm sina wivu wala siumii Joyce kuchaguliwa kuwa viti maalumu.Ukimaliza zamu yako utanistua
Kisa anatukana hovyo?unamwacha Hilda aliye active kwenye Chama unampa Joyce,anafanyia siasa wapi huyu au uvunguni?
Wale wale akina Joyce Mukya, Owenya, Suzan Lyimo,!!!!!!!. Wangewapa wale ambao waligombea kwenye majimbo badala ya kuwapa hawa hawa wa kawaida!!! Mbowe ni kiongozi ambaye anaheshimika asifanye kosa la kumpa Ubunge Joyce Mukya; atasambaratisha chama.Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.
Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.
Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
MukyaWatakuwa na matatizo ya akili
Nileteeeeni Mukya, namtaka MukyaMtu kama yule anaachwaje
Huyu naweza kumuunga mkono kwa kuwa alipambana na tukaona amepambana. Mukya alipambania wapi?Yosepher Komba
View attachment 2220323
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, kwangu ingependeza zaidi kumuona Hilda Newton bungeni.
Chama ni matrimonial property!!Huyu Joyce Mukya sijawahi kumuona katika ujenzi wa Chama ila miaka yote anapeta tu, labda kwasababu anampa furaha mwenyekiti wetu basi acha tu aulambe
naona hao wapya wengi ni wa kaskazini,wakina Grace Moshi,Molle,Mukya,Lyimo na wengineo,hivi kwanini Chadema wanaukaskazini sana?
Hapana.... Hayupo kundi la 19 bali Katika hao wapya mtoa mada anaodai wamependekezwa. In fact yeye ndio Mwenyekiti wa BAWACHA na ni mzanzibari.Ktk 19?
Sawa kamanda 2020 Wasinge kiwashayes waende wakakiwashe huko ndani
Sijui huwa mnachangua kwa kuangalia facts zipi, kushinda twitter au?? Ndomaana mnatumika kirahisi sana kama platform ya watu kujikuza kisiasa, na hata huko mitandaoni(refer to kigogo) kwasababu mmejaa mihemko.
Huyo Hilda ana kipi cha maana, au swala lake la kujionyesha kuipenda CDM mitandaoni??

Kama chama hakikupeleka majina unaenda bungeni kumuwakilisha nani.Kumbe hoja ni sapoti ya chama?
Ila sio kwamba uchaguzi haukuwa huru?
Ha ha ha ha
Siasa hizi
Na hiki kitakuwa chama cha dini gani.Chama cha kikristu
Hawa Chadema si walikataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa 2020, iweje leo wanapeleka majina kwenye bunge haramu?Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.
Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.
Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
Hicho ki hilda kimejaa chuki na ushabiki usio na maana, hastahili kuwakilisha wananchi.Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, kwangu ingependeza zaidi kumuona Hilda Newton bungeni.
Si kila mtu anafanya siasa jukwaani, wengine siasa zao wanamalizia vyumbani, wakifika sebuleni wanatangazwa washindi.unamwacha Hilda aliye active kwenye Chama unampa Joyce,anafanyia siasa wapi huyu au uvunguni?