The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nyie endeleeni kushabikia 😆😆Mbona majina yote ya ukanda mmoja
Kusini
Magharibi
Kati
Zanzibar nk HAKUNA WATU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie endeleeni kushabikia 😆😆Mbona majina yote ya ukanda mmoja
Kusini
Magharibi
Kati
Zanzibar nk HAKUNA WATU?
Labda niambie uchaguzi ushakuwa huru sasa?Nadhani you lack a lot of information
Ngoja tusubiri majina ya wabunge viti maalumu akina Manka toka kilimanjaro watakuwa asilimia ngapi ya wabunge viti maalumuMkuu CCM watakupa lini,zawadi na wewe
Ndio wenye chama, wengine ni wasimdikizaji na washangiliajinaona hao wapya wengi ni wa kaskazini,wakina Grace Moshi,Molle,Mukya,Lyimo na wengineo,hivi kwanini Chadema wanaukaskazini sana?
Wewe umetoa umepewa nini mkuu?Bila kutoa papuchi huendi bungeni
yes waende wakakiwashe huko ndani
Yule Hilda Newton wenu mmeamua kumbwaga. Kweli chama kina wenyewe
Huu ni uzushi kwa 100%.
Chadema ni chama cha kanuni na taratibu, sio chama cha mihemko.
Chadema ilichasema wazi haiyatambui matokeo yote ya uchaguzi mkuu 2020, haijapeleka jina lolote la viti maalum na imewafukuza uanachama Covid 19.
Nini kitafuata?
Baraza kuu itatupilia mbali rufaa za Covid 19. Na spika na maCCM wenzake wataamua ama wawachinjie baharini hao Covid 19 (ili kuona kama CHADEMA watachukua mkondo mpya kwa kuwa rais ni Samia) au waendelee kuwabeba Covid 19.
Nini CHADEMA watafanya baada ya hapo? Itategemea spika na maCCM watasimamia wapi kwanza.
papuchi ndio viti maalum piaBila kutoa papuchi huendi bungeni
Vyakula vya mwenyekiti vyote hivyo. NonsenseSakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.
Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.
Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
chizi unanitupia makopo?Wewe ndiyo chizi wa siasa?? Utapelekeshwa na viongozi wako mpakae ukome
Use common sense to think
Kama walivyotoa COVID-19 kwa naniiBila kutoa papuchi huendi bungeni
Available resource.... unayo tumia nawewe..Bila kutoa papuchi huendi bungeni
Kuwa mwenyekiti nawewe ukaliwe.Vyakula vya mwenyekiti vyote hivyo. Nonsense
Ndo anapimwa kwa namna hiyo!?Mkuda mmoja yule, anavaa nguo za kuchanikachanika
Hawa COVID-19 wamepooza sana bungeni dhamira zinawasutaSakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.
Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.
Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
Si kila mpiga kelele hufaaYule Hilda Newton wenu mmeamua kumbwaga. Kweli chama kina wenyewe