Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Nadhani you lack a lot of information
Labda niambie uchaguzi ushakuwa huru sasa?

Kuna haja kweli ya kupeleka wengine?

Mi nilidhani wakiondolewa hao, kutakuwa na wachadema yoyote bungeni..

Au walitaka wapeleke watu wao?
 
Huu ni uzushi kwa 100%.
Chadema ni chama cha kanuni na taratibu, sio chama cha mihemko.
Chadema ilichasema wazi haiyatambui matokeo yote ya uchaguzi mkuu 2020, haijapeleka jina lolote la viti maalum na imewafukuza uanachama Covid 19.

Nini kitafuata?
Baraza kuu itatupilia mbali rufaa za Covid 19. Na spika na maCCM wenzake wataamua ama wawachinjie baharini hao Covid 19 (ili kuona kama CHADEMA watachukua mkondo mpya kwa kuwa rais ni Samia) au waendelee kuwabeba Covid 19.
Nini CHADEMA watafanya baada ya hapo? Itategemea spika na maCCM watasimamia wapi kwanza.

Nami ndio nilikuwa nashangaa hapa, naona watu wananiita chizi, wengine wanasema sina taarifa.

Hakika nimeamini wanachadema ni washabiki na bendera fuata upepo.
 
Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.

Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.

Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
Vyakula vya mwenyekiti vyote hivyo. Nonsense
 
Hiyo list yako mleta mada hata kama Feki naona akina Manka toka kilimanjaro wengi hasa
 
Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.

Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.

Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
Hawa COVID-19 wamepooza sana bungeni dhamira zinawasuta
 
Back
Top Bottom