pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Well done putin,
Mizungu mpaka itambalie matako safari hii
Mizungu mpaka itambalie matako safari hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi saivi kilo ya sukari unapanga folen nani ataenda kukaa urusiView attachment 2233665
Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali.
Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa Marekani, Joe Biden na mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg pia kuna muigizaji wa Hollywood, Morgan Freeman.
Majina hayo ni mwendelezo wa uhusiano mbovu kati ya Urusi na mataifa mengine hasa ya Magharibi tangu kuanza kwa vita ya Urusi dhidi ya Ukraine, Februari, 2022.
Orodha hiyo ya majina imetangazwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi, jana Mei 21, 2022, wengine waliopo katika listi hiyo ni maofisa wa Marekani, wanasiasa, pia kuna raia 26 wa Canada.
Source: Aljazeera
------------------------------------------------
Russia bans hundreds of prominent Americans, 26 Canadians
Russia has published a list of 963 leading Americans, including US President Joe Biden, Facebook boss Mark Zuckerberg and Hollywood actor Morgan Freeman who are now banned from entering the country.
The largely symbolic travel bans form part of a downward spiral in Russia’s relations with the West since Moscow’s invasion of Ukraine in February.
Those named in the new list published by the Russian foreign ministry on Saturday also include US government officials, lawmakers and other leading figures, and the move was retaliation for similar sanctions by Washington.
Freeman, who had not previously been named by Russian authorities, is accused by Moscow of having recorded a video in 2017 in which he claimed Russia was plotting against the US.
“The Russian counter-sanctions are necessary and aim to constrain the US which is trying to impose a neocolonial ‘world order’ on the rest of the planet … to change its position and recognise new geopolitical realities,” the Russian foreign ministry said in a statement.
Moscow, it added, remains open to “honest dialogue” and drew a distinction between the people of the US and the authorities who are “inciting Russophobia”.
Moscow has already announced sanctions targeting many of those on the new list, in particular Biden, his Secretary of State Antony Blinken, the head of the Pentagon Lloyd Austin and Zuckerberg.
The ministry also said it had banned 26 more prominent Canadians, including Sophie Trudeau, the wife of the Canadian prime minister. Russia’s new list of banned Canadians follows four days after Canada introduced a bill that will ban President Vladimir Putin and about 1,000 members of his government and military from travelling there.
Mimi na wewe huwa hatuelewani na huwa nakupinga Sana ila leo umeongea maneno ya msingi, mtu yupo tandare afu anasema Russia hakuna issue😂Alisikika mkazi wa Tanga porini porini huko akiongea maneno hayo huku akinywa kahawa akiwa amevaa msuli wake safi kabisa.
Alisikika mlevi na mmarekani kutoka chato akisema.Mtu mwenye akili zake timamu ataenda kufanya nini urusi nchi yenyewe kwanza saizi imebaki makalio matupu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni sawa na mkuu wa mkoa wa songwe anamwekea vikwazo jay z kwenda kupiga show mkoani kwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
😄😄 humu JF kupishana kauli, kubishana,kutukanana ni jadi yetu.CheersMimi na wewe huwa hatuelewani na huwa nakupinga Sana ila leo umeongea maneno ya msingi, mtu yupo tandare afu anasema Russia hakuna issue😂
We unayeishi kwa kuuza mkaa huko mbezi kwa Yusuf huwezi kujua umuhimu RussiaMtu mwenye akili zake timamu ataenda kufanya nini urusi nchi yenyewe kwanza saizi imebaki makalio matupu.
shuleni maisha yake yote ametumia choo kilichojengwa kwa msaada wa watu wa 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 hapo amkumbuke 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 kwa lipi ?.We unayeishi kwa kuuza mkaa huko mbezi kwa Yusuf huwezi kujua umuhimu Russia
Huyo Jangili yupo mbezi kwa yusuph anamaliza misitu yetu kwa kuchoma mkaaOk! Unakalia wapi mwenzetu. Inaonekana ulishafika Urusi. Kama upo hapa hapa bongo kama mimi basi tuendelee tu kunywa wanzuki na kula mihogo.
umenikumbusha Dr shika .🙏🙏🙏Kiuhalisia hakuna anayependa kwenda Urusi
Hata mbwa wa buza watetezi wa Poo tin hawawezi enda
🤣🤣🤣Ni sawa na mkuu wa mkoa wa songwe anamwekea vikwazo jay z kwenda kupiga show mkoani kwake 😂😂😂😂
🏃🏃🏃🏃
Tuache 😃
Songwe tumekukosea nini mkuu 😂Ni sawa na mkuu wa mkoa wa songwe anamwekea vikwazo jay z kwenda kupiga show mkoani kwake 😂😂😂😂
🏃🏃🏃🏃