Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si waliotangulia lakini?
Tatizo wengi humu wanaficha majina ili waweza kutongoza wake za watu au wanaume za watu ili mke wake au mume wake asimjue.Na hii ndio hasara ya kutumia majina feki kwenye jukwaa sensitive kama jf.
Tatizo wengi humu wanaficha majina ili waweza kutongoza wake za watu au wanaume za watu ili mke wake au mume wake asimjue.
Tatizo wengi humu wanaficha majina ili waweza kutongoza wake za watu au wanaume za watu ili mke wake au mume wake asimjue.
Naogopa kujulikana maana kuna wakati mwingine ulimi unateleza ninapochangia baadhi ya mada.Anza wewe kuonyesha mfano hilo ni jina lako halisi?
R.I.P mama mkwe nae alikuwa member wa jf
Yap! Lakini sijui nakufa lini. Kwa hiyo niki-RIP naomba jina langu halisi lisitajwe. Hakawii kuwa Ritz ndio boss wangu, akijua si Paw atakosa rambirambi za kwenda kulipia mahari mke mwingine?
le mutuz kuna mwenye tetesi mahali alipo........
Atakuombeaje tena kama ulikufa na dhambi ndo kukutana na hukumu ...Naona hakuna ubaya mtu akisha kujua wkt umetangulia mbele ya haki kikubwa zaidi atakuombea
Ni hatari sana hiyo kitu,hata hawa MODS wa JF wengine wameshanunuliwa hilo liko wazi kabisa na wanajulikana,ukifanya hivyo kesho asubuhi huna kazi,kama huamini jaribu UONE CHA MOTO,USIJARIBU HATA SIKU MOJA,CHEZEA TANZANIA WEWE!nadhani Mods waweke ka-system ambako sisi tunawapa baadhi ya real identity ila wao wanaziweka na kuzificha, pia awepo mtu wa karibu anayefahamu rela name ili siku ukitundikiwa tani kadhaa za mchanga basi huyo aliye karibu nawe ambaye pia ni member wa JF atoe taarifa kwa mods ili watoe taarifa kwa umma wa JF kuwa jamaa kalamba mchanga!
Ni muono wangu tu ila bado mnaweza kuona namna ya kuuboresha kama una mapungufu!
Nadhani ni vema kuwaenzi na kuwakumbuka mashujaa wetu waliofariki kama alivyopendekeza PJ kwenye posti moja hivi. Mimi naanza:
1. Juma Kidogo
2. Baruti Mwesiga aka Kandambili
3. Profesa Jwani Mwaikusa
4. Regia Mtema
5.
Daudi Mwanagosi, John Ngahyoma
king,una akili sana wewe!Yap! Lakini sijui nakufa lini. Kwa hiyo niki-RIP naomba jina langu halisi lisitajwe. Hakawii kuwa Ritz ndio boss wangu, akijua si Paw atakosa rambirambi za kwenda kulipia mahari mke mwingine?
Hii kitu imenihuzunisha sana.