Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Yap! Lakini sijui nakufa lini. Kwa hiyo niki-RIP naomba jina langu halisi lisitajwe. Hakawii kuwa Ritz ndio boss wangu, akijua si Paw atakosa rambirambi za kwenda kulipia mahari mke mwingine?
Si waliotangulia lakini?
 
Naona hakuna ubaya mtu akisha kujua wkt umetangulia mbele ya haki kikubwa zaidi atakuombea
 
Tatizo wengi humu wanaficha majina ili waweza kutongoza wake za watu au wanaume za watu ili mke wake au mume wake asimjue.
Tatizo wengi humu wanaficha majina ili waweza kutongoza wake za watu au wanaume za watu ili mke wake au mume wake asimjue.

Anza wewe kuonyesha mfano hilo ni jina lako halisi?
R.I.P mama mkwe nae alikuwa member wa jf
 
Anza wewe kuonyesha mfano hilo ni jina lako halisi?
R.I.P mama mkwe nae alikuwa member wa jf
Naogopa kujulikana maana kuna wakati mwingine ulimi unateleza ninapochangia baadhi ya mada.
 
heheheheheeeee mi simo naogopa ban aloo na mi huku ndo sehem ya kuondolea mastress yangu
Yap! Lakini sijui nakufa lini. Kwa hiyo niki-RIP naomba jina langu halisi lisitajwe. Hakawii kuwa Ritz ndio boss wangu, akijua si Paw atakosa rambirambi za kwenda kulipia mahari mke mwingine?
 
Naona hakuna ubaya mtu akisha kujua wkt umetangulia mbele ya haki kikubwa zaidi atakuombea
Atakuombeaje tena kama ulikufa na dhambi ndo kukutana na hukumu ...
Nafasi ya kuombeana ni hapa duniani..

Kwa kweli mie nikidead wapo watu watawapa info tu ...kuanzia husb...wadogo zangu na masisy wako JF...
na wengineo...
Ingawa naomba mungu anipe miaka 70 aliyoahidi ili nione watoto wa wajukuu zangu
:rockon:
 
nadhani Mods waweke ka-system ambako sisi tunawapa baadhi ya real identity ila wao wanaziweka na kuzificha, pia awepo mtu wa karibu anayefahamu rela name ili siku ukitundikiwa tani kadhaa za mchanga basi huyo aliye karibu nawe ambaye pia ni member wa JF atoe taarifa kwa mods ili watoe taarifa kwa umma wa JF kuwa jamaa kalamba mchanga!
Ni muono wangu tu ila bado mnaweza kuona namna ya kuuboresha kama una mapungufu!
Ni hatari sana hiyo kitu,hata hawa MODS wa JF wengine wameshanunuliwa hilo liko wazi kabisa na wanajulikana,ukifanya hivyo kesho asubuhi huna kazi,kama huamini jaribu UONE CHA MOTO,USIJARIBU HATA SIKU MOJA,CHEZEA TANZANIA WEWE!
 
Nadhani ni vema kuwaenzi na kuwakumbuka mashujaa wetu waliofariki kama alivyopendekeza PJ kwenye posti moja hivi. Mimi naanza:

1. Juma Kidogo
2. Baruti Mwesiga aka Kandambili
3. Profesa Jwani Mwaikusa
4. Regia Mtema
5.

Faiza Fox, Mwita25 na Rejao wako hai kweli? nauliza tu jaman i miss they comments
 
Yap! Lakini sijui nakufa lini. Kwa hiyo niki-RIP naomba jina langu halisi lisitajwe. Hakawii kuwa Ritz ndio boss wangu, akijua si Paw atakosa rambirambi za kwenda kulipia mahari mke mwingine?
king,una akili sana wewe!
 
lizzy '' yuko wapi siku hizi!!??
Jane000 je!!??
......NB:tusikonkludi death...LABDA PERMANENT BAN..jamani....
 
Back
Top Bottom