Siku hizi kuna "Kadinda".1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
ya msingiYana patikana ukanda fulani, wewe ilikuwa shule ya upili ama ya msingi
Ndiyo waliokuwa na Dar yao hivyo sisi tuliozaliwa na kukulia Dar miaka hiyo hatukuwa na marafiki wengine zaidi ya wazaramo.Naona mengi ni ya wazaramo tu
Anzisha mada yako ya ushoga kama unataka kuwajua mashoga wakuu duniani.Mohammed kwa kuwa mashoga wengi uitwa jina hilo as Aunty Muddy
Yeah. Ni kama ya kichaga nayo nayakubali sana. Upendo, Pendo, Eliapenda, Ngurelo, Mushi,Majina ya kiswahili mazuri bwana,
Nimemkumbuka sikudhani,mwamvita, havijawa, kuna kidawa, kashinde, mwamboni, mwanahamisi, mwanaidi,tatu pili.
kubabake...Mimi watoto wangu wote wanaitwa majina ya Kisambaa tu. Na idadi yao ndiyo hii hapa; wa kiume kuna Makange, Mweta, Kiango, Hiza, Hoza, Kihiyo, Mdoe, na Mtoi. Wa kike yupo Mboni, Nemghwa, Kidangu, na Matabu. Jumla wapo 12! 😇
Na mimi baba yao mzazi naitwa Tate Mkuu Shebughe!
Wachawi wakikusikia watakuzibia kizazi..Mimi first born lazima apewe jina zuri.
AiseeWachawi wakikusikia watakuzibia kizazi..
Hii dunia kwa sasa ukiwa na mipango mizuri unatakiwa iwe siri yako
Hivi Junior akiwa mtu mzima bado anaendelea kuitwa junior?Junior
Nitakupa jibu la kisomi.1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
Hakuna sababu kwani wanaelewekaAnzisha mada yako ya ushoga kama unataka kuwajua mashoga wakuu duniani.