Majina, misemo na maneno kwenye khanga

mbona hiyo kanga yaaliye inama inaonesha hadi chupi ndani au ndio ulichopenda
 
mbona hiyo kanga yaaliye inama inaonesha hadi chupi ndani au ndio ulichopenda

Wewe umeona chu'pi au?
Mimi nimeona kanga yenye maandishi yenye kutia faraja
 
Asubuhi yoote hii awaza matako ndio maana kapiga pic

Inaonesha unapenda sana mattako na chpi ndo maana hutoki ktk uzi huu kwa sababu ndicho ulicho kiona.
 
Unapatikana wapi nataka niwanunulie wana kikundi pale kanisani kwetu.

Ninaishi Kirando (beach ziwani) wilaya ya Nkasi; lakini huwa mara kwa mara natembelea Mwanza, Iringa, Dar, Mbeya, Mtwara Kigoma, Arusha, Zanzibar, Moshi, Morogoro na Dodoma. Kesho niko Kigoma. Jipange!!!
 
Aksante ngoja nijipange.
 
taifa likiwa na vijana kama huyu ni hasara tupu

Hujui mpaka sasa nimeingiza sh. Ngapi na nimelipa kodi sh. Ngapi hivyo usijekuta wewe ndio unakua hasara kwa taifa kwa kushadadia fikra za mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…