Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,967
- 2,147
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hiyo kanga yaaliye inama inaonesha hadi chupi ndani au ndio ulichopenda
mbona hiyo kanga yaaliye inama inaonesha hadi chupi ndani au ndio ulichopenda
Unapatikana wapi nataka niwanunulie wana kikundi pale kanisani kwetu.
huyu mpiga picha inaonekana ni malaya sana
Ulitaka awaze nini......
What if mko kwenye different time zone wakati we ni asubuhi ye ni mchana
Wewe umeona chu'pi au?
Mimi nimeona kanga yenye maandishi yenye kutia faraja
huyu mpiga picha inaonekana ni malaya sana
kumbe sio peke yangu
Umeona kangaa mbona huja piga picha kanga peke yake tungejua kweliii
nice answer
Asubuhi yoote hii awaza matako ndio maana kapiga pic
Unapatikana wapi nataka niwanunulie wana kikundi pale kanisani kwetu.
Asubuhi yoote hii awaza matako ndio maana kapiga pic
Ninaishi Kirando (beach ziwani) wilaya ya Nkasi; lakini huwa mara kwa mara natembelea Mwanza, Iringa, Dar, Mbeya, Mtwara Kigoma, Arusha, Zanzibar, Moshi, Morogoro na Dodoma. Kesho niko Kigoma. Jipange!!!
taifa likiwa na vijana kama huyu ni hasara tupu
Ze dudu mzima wewe....
Hahaha. Macho yako yatakuwa na hitlafu