Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Naskia majibwa na mikwara kila kona wuuuuh wuuuuh kumbe ni UMBWA koko....[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji441]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mama hakuwa wa sport sport kwamba haongei na kuku mchakura chini.....

Ule wimbo wa Nasma ilikuwa kiboko ya matatizo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mama hakuwa wa sport sport kwamba haongei na kuku mchakura chini.....

Ule wimbo wa Nasma ilikuwa kiboko ya matatizo.
Yaaaan mama angu alikuwa anajiweza trust me my mumy ni mzuri baba angu ndo usiseme sasa wivu ndo usimwambiee baba yetu ni balaaaa sasa kanga zimejaa kabatini plus mikanda ya taarab
 
Siku hizi naona kama maandishi yana Staha sio kama zile za zamani au ni mimi ndio naona hivyo.

CC @Beeflasagna
Nina siku nyingi sijasoma maandishi ya khanga hivyo sijui, Nasomaga nikiona sampuli za zamani ninazozipenda
 
Ni wako akiwa kwako akitoka nje sio wako,

'chakubimbi muogope ana meno manne anaumaa kote kote'

ALAA KUMBE hii ilikuwa maarufu saaana jamani

Unakulaa naye unacheka naye mbaya ndo huyo huyo

Chuki nichukiee roho yangu niachiee

Chokochoko za jirani hazinitoi ndani
 
Umenikumbusha mbali lol.

Kina sisi tuliolelewa maisha ya kujitanda basi wacha kabisa kama mama kaivaa kanga yake mpya pale akiivua kama haijachafuka vizuri basi ukitumwa dukani lazima tuitinge kwenda nayo dukani lol.
 
Kuna nyingine "hakutaki miguu inasagamba za kuchana shuka".
 
Kipindi hicho mtu anakununulia khanga na kanda ya taarab. Ukijifanya hujui kusoma basi utasikia madongo yako kwenye kanda ya taarab [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaaaaa nakumbuka ukishindwa kusoma unawekewa cassete Zoazoa pakulala wapandia una nini kiruka njia
 
Siku hizi naona kama maandishi yana Staha sio kama zile za zamani au ni mimi ndio naona hivyo.

CC Beef Lasagna
Siku hizi khanga hazivaliwi sana, Ukimuona mtu kanunua anampeleka mzazi, kumpa pole mtu kafiwa, au hongera Lazima maneno yawe ya staha.
 
Hahaaaaaaa nakumbuka ukishindwa kusoma unawekewa cassete Zoazoa pakulala wapandia una nini kiruka njia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna ule wimbo wa HASIDI ulikuwa unaleta shida uswazini
 
Hahaaaaaaa nakumbuka ukishindwa kusoma unawekewa cassete Zoazoa pakulala wapandia una nini kiruka njia
Wanakwambia kama sijakosea kuna sehemu wanasema "Muuza karanga wamtaka wewe, Mkurugenzi wamtaka wewe, Muuzaji duka wamtaka wewe , kwako bora shilingi"

Hahahaaa. Nije niutafutage huo mwimbo siku moja niusikilize.
 
Siku hizi khanga hazivaliwi sana, Ukimuona mtu kanunua anampeleka mzazi, kumpa pole mtu kafiwa, au hongera Lazima maneno yawe ya staha.
Kweli kabisa japokuwa kuna kipindi wale watengeneza madera walitaka kuzishusha thamani pale walipoanzisha Madera yenye mitandio ambayo ina maandishi japokuwa mie hayakunifaa kwani yaliyo mengi yalikuwa na maneno yale makali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…