Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhaaaNi basha maarufu kule Zanzibar, na hivi sasa ana kesi ya kulawiti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mama hakuwa wa sport sport kwamba haongei na kuku mchakura chini.....Jaman huu wimbo mama alinunuaa hii kanda basi alikuwa na beef na mama mmoja hivi alikuwa anamuhisi anatembeaa na baba jaman ilikuwaga balaaaa mama ana kanga za misemo balaaa mojawapo inasemaga 'SIONGEI NA KUKU MCHAKURA CHINI NAONGEAA NA MWANAUME MKAA KITINI 'Yaan mama ana ma kanga balaa ya misemo umenikumbusha mbali plus na ike taarabu ya nasma hamisi kidogo mwanamke mazingiraa
Duuh. Pole mumyAisee... Nilikuwa nazo zikaibiwa [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Yaaaan mama angu alikuwa anajiweza trust me my mumy ni mzuri baba angu ndo usiseme sasa wivu ndo usimwambiee baba yetu ni balaaaa sasa kanga zimejaa kabatini plus mikanda ya taarab[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mama hakuwa wa sport sport kwamba haongei na kuku mchakura chini.....
Ule wimbo wa Nasma ilikuwa kiboko ya matatizo.
Siku hizi naona kama maandishi yana Staha sio kama zile za zamani au ni mimi ndio naona hivyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi siku hizi kuna khanga zenye maandishi mazuri kama zamani?
Au ndo hizo za ajabu ajabu kama "PANUA........"
Asante!Duuh. Pole mumy
Hahahaa. Na hiyo ndio safi aisee.Ndio maana mimi sisamagi maandishi ya khanga ya mtu. Labda awe mtu wangu wa karibu au niwe dukani
Hahahaaa. Wacha kabisa.Kipindi hicho mtu anakununulia khanga na kanda ya taarab. Ukijifanya hujui kusoma basi utasikia madongo yako kwenye kanda ya taarab [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nina siku nyingi sijasoma maandishi ya khanga hivyo sijui, Nasomaga nikiona sampuli za zamani ninazozipendaSiku hizi naona kama maandishi yana Staha sio kama zile za zamani au ni mimi ndio naona hivyo.
CC @Beeflasagna
Hahahaaa. Zipo na zina majina yaliyo mazuri kabisaa yaani hayako kimipasho.Nina siku nyingi sijasoma maandishi ya khanga hivyo sijui, Nasomaga nikiona sampuli za zamani ninazozipenda
Umenikumbusha mbali lol.Ni wako akiwa kwako akitoka nje sio wako,
'chakubimbi muogope ana meno manne anaumaa kote kote'
ALAA KUMBE hii ilikuwa maarufu saaana jamani
Unakulaa naye unacheka naye mbaya ndo huyo huyo
Chuki nichukiee roho yangu niachiee
Chokochoko za jirani hazinitoi ndani
Hahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hiyo cha mtoto,kuna zile za "HODI HODI ZIMEZIDI CHAKUWAPA SINA"
Hahaaaaaaa nakumbuka ukishindwa kusoma unawekewa cassete Zoazoa pakulala wapandia una nini kiruka njiaKipindi hicho mtu anakununulia khanga na kanda ya taarab. Ukijifanya hujui kusoma basi utasikia madongo yako kwenye kanda ya taarab [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi khanga hazivaliwi sana, Ukimuona mtu kanunua anampeleka mzazi, kumpa pole mtu kafiwa, au hongera Lazima maneno yawe ya staha.Siku hizi naona kama maandishi yana Staha sio kama zile za zamani au ni mimi ndio naona hivyo.
CC Beef Lasagna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna ule wimbo wa HASIDI ulikuwa unaleta shida uswaziniHahaaaaaaa nakumbuka ukishindwa kusoma unawekewa cassete Zoazoa pakulala wapandia una nini kiruka njia
Wanakwambia kama sijakosea kuna sehemu wanasema "Muuza karanga wamtaka wewe, Mkurugenzi wamtaka wewe, Muuzaji duka wamtaka wewe , kwako bora shilingi"Hahaaaaaaa nakumbuka ukishindwa kusoma unawekewa cassete Zoazoa pakulala wapandia una nini kiruka njia
Kweli kabisa japokuwa kuna kipindi wale watengeneza madera walitaka kuzishusha thamani pale walipoanzisha Madera yenye mitandio ambayo ina maandishi japokuwa mie hayakunifaa kwani yaliyo mengi yalikuwa na maneno yale makali sana.Siku hizi khanga hazivaliwi sana, Ukimuona mtu kanunua anampeleka mzazi, kumpa pole mtu kafiwa, au hongera Lazima maneno yawe ya staha.