Panua paja mkwaja waja.....hii ni ya bara
3. Waliofunja kanisa waje ntawapa pesa
maneno kwenye kanga huku bara
1. Kelele kelele za nini, kama mna jeuri ondokeni
2. Baniani mbaya kiatu chake dawa.
3. Vunjeni msambe, hamtofika hata Chumbe
4. Ahmada alishalewa, somo lenu hajaelewa
5. Muungano muungano, tushayachoka yenu maneno
6. Amshaneni sana, tutawalaza kiaina
7. Wote wapo macho kodo, sasa wamwamsha nani?
8. Endeleeni vivyo hivyo, mtaokota dodo kwenye mbuyu
9. Kama jeuri mnayo, acheni kwanza kazi kwenye muungano
10. Mtasema mchana, usiku mtalala
Alaaah! Wanafikiri sisi ndo hatujui kuandika maneno ya kwenye kanga?
Nilipokuwa tanga likizo niliona kanga imeandikwa ..
"Tamu kuramba Tamu kunusa..?"
Ni sentensi imeacha maswali kichwani hadi hii leo
hahahhhaa! mgosi mimi nitaandaa kontena la talaka aisee, wala sitafuti ushahidi tena...lol.. kuanzia hapo nitakila kwa staili ya kukomoa mpaka achome moto hizo kanga.
Naenda kumtafutia jirani kanga iliyoandikwa "Mimi sili vilivyooza"hivi kwa wale wanaume wanaosafiri mara kwa mara ukirudi nyumbani ukamkuta mkeo kajifunga kanga imeandikwa maneno haya ''heri nimpe jirani kuliko kiozee ndani'' ungechukua hatua gani?
hahahahaha! shauri zako, (dont try this at home)Nimependa hayo maneno ya khanga......!!!!
hahahahaha! shauri zako, (dont try this at home)
huo wimbo pia ni wakupiga marufuku kabisa, heheheheheheheJiranii jirani yangu eeh nimekukosea nini......
kila ninachokuomba jirani eeeh mwenzangu wanikataliaaa, sasa nikueleweje jirani eeh sasa nikueleweje mwenzangu eeh...
mimi na wewe ni kitu kimoja..........!!!!
mpende jirani bana.
Nimependa hayo maneno ya khanga......!!!!