yeah naafiki kabisa Jackline huwa ni noma kwa kugawa
acha uzushi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah naafiki kabisa Jackline huwa ni noma kwa kugawa
.Andrew-wapole ila wana msimamo na maamuzi yao,hawashauriki
Alex-viherehere,wakorofi na waongeaji! Usibishane nao
Deo-matapeli,waongo na wanafki.Machoni wapole
Richard-wachafu na wanapenda ngono balaa
Vipi kuhusu gaspery wakuu?
Majina yote mliyoyataja kuwa ni cheap, wanajiuza, malaya etc ni majina yenye watu wengi. Hivyo statistics zinawapronounce. Inawezekana kuna Majina uncommon kabisa lakini vituko vyao vikawa zaidi.
Generalisation is uncalled for.
. Lamda majina kama haya yafuatayo yananipa wasiwasi;ASHA,TABU,SHIDA,MASUMBUKO,RUKIA nk.
.
Kuna Deo wawili nawafahamu yaan hujakosea, exactly kama ulivyoandika
Mizengo waongo sana na wanapenda kulia lia hasa wakibanwa kwa kufanya kitu kinyume na utaratibu..wengi wao huwa wanapenda kuaahidi mambo yasiyotekelezeka