Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Mkuu Gily Gru naomba siri mbili tatu za kufanikiwa ktk hii biashara ili siku nikifungua nisiyumbeπŸ™πŸ™
First
1. Usimamizi, yani hela yako isikae na wafanyakazi, hakikisha kila siku unachukua chako

2. Uwepo hapo mda mwingi, wafanyakazi wanauza vyumba mchana wewe haupo wanaweka hela mfukoni

3. Kila mtu anayeingia hakikisha anaandikisha yeye na mwenzake

4. Hakikisha una vibali vyote mpaka vya afya, usafi, fire nk. Unatakiw ulipie kuanzia hotel levy mpaka kodi usipate usumbufu

5. Hakikisha una maji, tank za maji all the time. Maji kukatika kunafukuza sana wateja

6. Usafi uwe wa hali. Guest nyingi zina viharufu vya ajabu ajabu. Ukiweza weka tiles half the wall kupunguza watu kupaka mavi ukutani. Chooni full tiles

7. Hakikisha wafanyakazi hawatembei na wateja, tena weka hata watu wazima. Mara nyingi akitembea na mteja, hivyo mteja umemfukuz

Nk .....nimechoka kuandika
 
Ingekuwa nimeshalipwa hela zangu za Korosho ningekupa ofa ya Dodoma Wine Kwa bill yangu

Barikiwa sana Mkuu πŸ™
 
Ingekua sio kuogopa pilato mie ningewawekea na picha zao kabisaπŸƒπŸ˜œ
Ili watu wasipate shida kujenga picha zao Kichwani πŸ˜…

Kuna hotel hupenda Kulala hapo jirani na Mlimani city, Sitaitaja jina. Wameweka na zile picha za kikubwa kwenye TV zao.

Siku hiyo nimeingia na mgeni wangu, nikakutana nazo

Isingekuwa huu umri wa Uzee, hakika ningefia kinenani πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Bila shaka uliomba uwekewe wemzeee!!
 
Mkuu zidi kubarikiwa sanaπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ
Asante kwa muda wako.
Nitazingatia sana.
No 7 imenibariki kujua ninachotaka kufanya ni sahihi sbb watu wengi wananishauri eti nikifungua niwe na wadada wenye mishepu wa kuvutia wateja ila mimi natamani vidada virembo vya kawaida kama vya mahotel.
Pole kwa kuandikaπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wana balaa hao ila wanajua wanachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…