Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FirstMkuu Gily Gru naomba siri mbili tatu za kufanikiwa ktk hii biashara ili siku nikifungua nisiyumbe๐๐
Ingekuwa nimeshalipwa hela zangu za Korosho ningekupa ofa ya Dodoma Wine Kwa bill yanguFirst
1. Usimamizi, yani hela yako isikae na wafanyakazi, hakikisha kila siku unachukua chako
2. Uwepo hapo mda mwingi, wafanyakazi wanauza vyumba mchana wewe haupo wanaweka hela mfukoni
3. Kila mtu anayeingia hakikisha anaandikisha yeye na mwenzake
4. Hakikisha una vibali vyote mpaka vya afya, usafi, fire nk. Unatakiw ulipie kuanzia hotel levy mpaka kodi usipate usumbufu
5. Hakikisha una maji, tank za maji all the time. Maji kukatika kunafukuza sana wateja
6. Usafi uwe wa hali. Guest nyingi zina viharufu vya ajabu ajabu. Ukiweza weka tiles half the wall kupunguza watu kupaka mavi ukutani. Chooni full tiles
7. Hakikisha wafanyakazi hawatembei na wateja, tena weka hata watu wazima. Mara nyingi akitembea na mteja, hivyo mteja umemfukuz
Nk .....nimechoka kuandika
Kwa uzee wako ulifikri umeona vyote!iKuna vijana wahovyo wakiona Vyumba vya hivyo, fasta wanaomba tuwaongeze Sabuni mbili mbili
aHatari sana ๐
Ili watu wasipate shida kujenga picha zao Kichwani ๐Ingekua sio kuogopa pilato mie ningewawekea na picha zao kabisa๐๐
Kwa kweli aisee, kweli kuishi kwingi kuona mengi ๐คKwa uzee wako ulifikri umeona vyote!
Watu wanaumiza vichwa sana aisee.
Bila shaka uliomba uwekewe wemzeee!!Ili watu wasipate shida kujenga picha zao Kichwani ๐
Kuna hotel hupenda Kulala hapo jirani na Mlimani city, Sitaitaja jina. Wameweka na zile picha za kikubwa kwenye TV zao.
Siku hiyo nimeingia na mgeni wangu, nikakutana nazo
Isingekuwa huu umri wa Uzee, hakika ningefia kinenani ๐๐๐
Niliweka mwenyewe, baada ya kuona yaliyomo ikawa ndiyo starterBila shaka uliomba uwekewe wemzeee!!
Shusha vitu mkuuIngekua sio kuogopa pilato mie ningewawekea na picha zao kabisa๐๐
Hahaha kama nakuona ukiuliziaNiliweka mwenyewe, baada ya kuona yaliyomo ikawa ndiyo starter
Si wanasemaga Wazee mwisho safari Moja Kwa mwaka, Siku ile mbili na chenchi ๐
Mkuu zidi kubarikiwa sana๐๐ผ๐๐ผFirst
1. Usimamizi, yani hela yako isikae na wafanyakazi, hakikisha kila siku unachukua chako
2. Uwepo hapo mda mwingi, wafanyakazi wanauza vyumba mchana wewe haupo wanaweka hela mfukoni
3. Kila mtu anayeingia hakikisha anaandikisha yeye na mwenzake
4. Hakikisha una vibali vyote mpaka vya afya, usafi, fire nk. Unatakiw ulipie kuanzia hotel levy mpaka kodi usipate usumbufu
5. Hakikisha una maji, tank za maji all the time. Maji kukatika kunafukuza sana wateja
6. Usafi uwe wa hali. Guest nyingi zina viharufu vya ajabu ajabu. Ukiweza weka tiles half the wall kupunguza watu kupaka mavi ukutani. Chooni full tiles
7. Hakikisha wafanyakazi hawatembei na wateja, tena weka hata watu wazima. Mara nyingi akitembea na mteja, hivyo mteja umemfukuz
Nk .....nimechoka kuandika
Hahahaha..........Bora tumezeeka sasa ๐คHahaha kama nakuona ukiulizia
Zile channel zetu zipo.
Sio mchoyo wa kutoa siri anajiamini hlf hana roho ya korosho.Ingekuwa nimeshalipwa hela zangu za Korosho ningekupa ofa ya Dodoma Wine Kwa bill yangu
Barikiwa sana Mkuu ๐
Shukrani sana Mkuu ๐๐Sio mchoyo wa kutoa siri anajiamini hlf hana roho ya korosho.
Hata wewe unastahili ka chupa ka wine mkuu.
Hamna roho mbaya wakuu mbarikiwe sana๐๐ผ๐๐ผ
Itafikia hatua utakula kwa machoHahahaha..........Bora tumezeeka sasa ๐ค
Kuona kwingi ndio kujifunza kwenyeweMwenyewe nilivyoona nikasema kweli pesa haiji kirahisi
๐๐๐Ili watu wasipate shida kujenga picha zao Kichwani ๐