Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Mkuu Gily Gru naomba siri mbili tatu za kufanikiwa ktk hii biashara ili siku nikifungua nisiyumbe๐Ÿ™๐Ÿ™
First
1. Usimamizi, yani hela yako isikae na wafanyakazi, hakikisha kila siku unachukua chako

2. Uwepo hapo mda mwingi, wafanyakazi wanauza vyumba mchana wewe haupo wanaweka hela mfukoni

3. Kila mtu anayeingia hakikisha anaandikisha yeye na mwenzake

4. Hakikisha una vibali vyote mpaka vya afya, usafi, fire nk. Unatakiw ulipie kuanzia hotel levy mpaka kodi usipate usumbufu

5. Hakikisha una maji, tank za maji all the time. Maji kukatika kunafukuza sana wateja

6. Usafi uwe wa hali. Guest nyingi zina viharufu vya ajabu ajabu. Ukiweza weka tiles half the wall kupunguza watu kupaka mavi ukutani. Chooni full tiles

7. Hakikisha wafanyakazi hawatembei na wateja, tena weka hata watu wazima. Mara nyingi akitembea na mteja, hivyo mteja umemfukuz

Nk .....nimechoka kuandika
 
Ingekuwa nimeshalipwa hela zangu za Korosho ningekupa ofa ya Dodoma Wine Kwa bill yangu

Barikiwa sana Mkuu ๐Ÿ™
 
Ingekua sio kuogopa pilato mie ningewawekea na picha zao kabisa๐Ÿƒ๐Ÿ˜œ
Ili watu wasipate shida kujenga picha zao Kichwani ๐Ÿ˜…

Kuna hotel hupenda Kulala hapo jirani na Mlimani city, Sitaitaja jina. Wameweka na zile picha za kikubwa kwenye TV zao.

Siku hiyo nimeingia na mgeni wangu, nikakutana nazo

Isingekuwa huu umri wa Uzee, hakika ningefia kinenani ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Bila shaka uliomba uwekewe wemzeee!!
 
First
1. Usimamizi, yani hela yako isikae na wafanyakazi, hakikisha kila siku unachukua chako

2. Uwepo hapo mda mwingi, wafanyakazi wanauza vyumba mchana wewe haupo wanaweka hela mfukoni

3. Kila mtu anayeingia hakikisha anaandikisha yeye na mwenzake

4. Hakikisha una vibali vyote mpaka vya afya, usafi, fire nk. Unatakiw ulipie kuanzia hotel levy mpaka kodi usipate usumbufu

5. Hakikisha una maji, tank za maji all the time. Maji kukatika kunafukuza sana wateja

6. Usafi uwe wa hali. Guest nyingi zina viharufu vya ajabu ajabu. Ukiweza weka tiles half the wall kupunguza watu kupaka mavi ukutani. Chooni full tiles

7. Hakikisha wafanyakazi hawatembei na wateja, tena weka hata watu wazima. Mara nyingi akitembea na mteja, hivyo mteja umemfukuz

Nk .....nimechoka kuandika
Mkuu zidi kubarikiwa sana๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ
Asante kwa muda wako.
Nitazingatia sana.
No 7 imenibariki kujua ninachotaka kufanya ni sahihi sbb watu wengi wananishauri eti nikifungua niwe na wadada wenye mishepu wa kuvutia wateja ila mimi natamani vidada virembo vya kawaida kama vya mahotel.
Pole kwa kuandika๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ
 
Ili watu wasipate shida kujenga picha zao Kichwani ๐Ÿ˜…

Kuna hotel hupenda Kulala hapo jirani na Mlimani city, Sitaitaja jina. Wameweka na zile picha za kikubwa kwenye TV zao.

Siku hiyo nimeingia na mgeni wangu, nikakutana nazo

Isingekuwa huu umri wa Uzee, hakika ningefia kinenani ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Wana balaa hao ila wanajua wanachokifanya
 
Back
Top Bottom