Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Basi inabidi utolewe bikra ya ushamba aisee. Yaani mtu kutumia majina yake Lodge wewe unaachwa mdomo wazi? Sasa akitumia ya samaki au ndege si utaachwa mku**u wazi?Umeona eeh?
Ushamba wangu tu mkuu
Nitakunywa Pearly Bay babu...AsanteMjukuu hebu chukua ile wine yako uipendayo pamoja na mdudu kilo Kwa bill yangu
Ni vyema Babu yenu nipewe π€
Sema tabia ya kupenda vtoto vya 2000 aacheMkuu Grahams hana baya moja ya memba nawaheshimu sana.
Mkuu kumbuka uliniahidi kity ujue..Nimeona Mkuu, Kwa kweli nimejifunza kitu.
Nafikiri Siku Moja nitamweka Mapokezi Wema Sepetu ama Hamisa kwaajili ya Kuwavutia wateja wangu.
Najua wateja wangu wakihudumiwa hata matauro tu na hao watu japo Kwa Siku moja, wataenda kuhadithiana hivyo kuzidi kuja wengi Kulala kwangu π€
Bila shaka Mkuu, tuombe uzima πMkuu kumbuka uliniahidi kity ujue..
Nasbri mambo yawe mazr
Hivi huo mvinyo hata Wazee tunaruhusiwa kunywa.Nitakunywa Pearly Bay babu...Asante
Babu usiogope,we kunywa tuππHivi huo mvinyo hata Wazee tunaruhusiwa kunywa.
Zisije kufanya mnala wa Babeli ushindwe kuanguka Siku nzima πππ
Camera ishakunasa kitambo.Nb: picha nilipiga kwa kujiiba ndo mana sio nzuri na sijaweza kupiga vyumba vyote
πππ... Lahaulaaa...πππ
Nasikia chumba cha misa hakipumzikiπ
Eti Kinapendwa balaa.
Salama Mkuu?
Weekend si ndiyo keshokutwa, Fanya mpango unicheki twende maeneo π€Babu usiogope,we kunywa tuππ
Si salama jua kali mkuuSalama Mkuu?
Soon mambo yatakaa vizuri, tuendelee kuombeana heri tu ππSi salama jua kali mkuu
Mzee hovyo weweSoon mambo yatakaa vizuri, tuendelee kuombeana heri tu ππ
Kuweni na imani na Wazee π€Mzee hovyo wewe