Yaaani...πππ...ubunifu wa wafanyabiasharaHatari tupu mkuu.ππ
Pesa inatafutwa kwa akili nyingi ππ
Uliendaje mwenyewe wakati ulisema ulilipia short time 10,000Nilienda mwenyewe na mie ni Ke mkuu
Na vipi ikiwa ni Azam kitu kingine?Majina sio hatimiliki. Mfano Wema akija kulalamika ataambiwa Wema ya pale ni neno la Kiswahili linaloashiria utu, uungwana. Zari akija ataambiwa ni zari la mentali.
Ingeandikwa CocaCola au Azam ndio ingekuwa shida.
π€π€π€π€π€
ShukraniHalafu asante kwa mvua ya likes mtumishiπππππ΅οΈπ»πΌπΈπΊπ·π₯π
πΉπΉ bana sis usinichekeshe mwenzio mwili unauma nimechoka ujue..π€£π€£π€£Nimeona bajaji imeandikwa"BABU APEWE"nikamkumbuka babu yako Grahams