Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Sawa mkuu.
Japo domo zege ila sitako wa kuunganishiwaπŸ˜€
Haya kila la heri kaka...hahhaha usijali utapata tuu...ila sasa usije kwa hii gia ya kumvamia kila demu hadharani...ww kama unamtaka kweli nenda PM ..akikuelewa sawa akikufurusha sawa pia..mm nina ushahidi wa watu watatu humu ni wapenzi na wametoana humu ni watu wangu wa karibu..na marafiki zangu..so ushauri wangu ni huo...
 
Sawa! Urafiki wetu udumu lakini ili siku Yanga tukishinda ligi nikutanie zaidi πŸ™‚πŸ˜€
Mi nishazoea matani...yani hata mshinde mara elfu nipo na nyie bega kwa bega kuwatania na kuwakera...
Hahahhah
Jamani emoj zangu zimepotea siwezi weka emoji yoyote sijui nimebonya wapi
 
Roger that sista angu m cutefully
 
Kwa hiyo ni lodge ya uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…