Ndio jirani alikuwa mrembo zamani saivi ni zombie tuChai kuwa Wema sio mrembo๐
Usuapata part time job.Sana.
Naambiwa tokea nipost huu uzi wana JF wamepafanya chimbo lao๐
Hii quote yako nimeiona saivi lolVibungo ni nini jirani?
Ni typing error.Sijakuelewa mkuu
Nimekupata vyema jirani ila sisi wabovu wa sura,umbo,ngozi ,sauti na tabia tunaitwaje?๐ญโน๏ธ๐.Hii quote yako nimeiona saivi lol
Vibungo ni madem/wanawake wabovu wasio na muonekano mzuri mfano sura mbaya, shepu flat screen, ngozi mbaya etc
Note: Kibungo anaweza kuwa na tabia /personality nzuri tu ila appearence yake ikiwa mbaya tu anakosa physical attraction
We ni mzuri jiraniNimekupata vyema jirani ila sisi wabovu wa sura,umbo,ngozi ,sauti na tabia tunaitwaje?๐ญโน๏ธ๐.
Asante kwa kunipa moyo jirani ila ngojea nianze kuifanyia kazi tabia yangu iko siku inaweza kuniokoa๐๐We ni mzuri jirani
Hao wabovu wa kila kitu ndo wanaitwa vibungo /kibungo ni yule anayekosa mvuto wa nje /mwili hivyo inakuwa ngumu kumshawishi mwanaume physically amtongozee labda tu awe na tabia nzuri ndo anaweza kuwapiku madem wazuri
Ndo maana wanaume wengi wanaoa vibungo /madem wa kawaida ila michepuko yao ni mizuri na pisi kali. ๐๐
Mke mwema ni lazima awe na sifa ya tabia nzuri ndo kitakachomtuliza mumewe๐ค๐ค๐คAsante kwa kunipa moyo jirani ila ngojea nianze kuifanyia kazi tabia yangu iko siku inaweza kuniokoa๐๐