Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Vibungo ni nini jirani?
Hii quote yako nimeiona saivi lol

Vibungo ni madem/wanawake wabovu wasio na muonekano mzuri mfano sura mbaya, shepu flat screen, ngozi mbaya etc

Note: Kibungo anaweza kuwa na tabia /personality nzuri tu ila appearence yake ikiwa mbaya tu anakosa physical attraction
 
Nimekupata vyema jirani ila sisi wabovu wa sura,umbo,ngozi ,sauti na tabia tunaitwaje?😭☹️😀.
 
We ni mzuri jirani

Hao wabovu wa kila kitu ndo wanaitwa vibungo /kibungo ni yule anayekosa mvuto wa nje /mwili hivyo inakuwa ngumu kumshawishi mwanaume physically amtongozee labda tu awe na tabia nzuri ndo anaweza kuwapiku madem wazuri

Ndo maana wanaume wengi wanaoa vibungo /madem wa kawaida ila michepuko yao ni mizuri na pisi kali. 😄😄
 
Asante kwa kunipa moyo jirani ila ngojea nianze kuifanyia kazi tabia yangu iko siku inaweza kuniokoa😃😃
 
Back
Top Bottom