father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Siri za kambi😁 ila ndo huyo anayefungua mlango kwenye hiyo video.Huyo mwanajf ulimla! 😄😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siri za kambi😁 ila ndo huyo anayefungua mlango kwenye hiyo video.Huyo mwanajf ulimla! 😄😄😄
Kwani kuna tatizo gani?Jina la rais pamoja na micheps ya mondi simshauri mkuu😀
Nami namshangaa!Kwani kuna tatizo gani?
Mbona haonekani hapo mkuuu!Siri za kambi😁 ila ndo huyo anayefungua mlango kwenye hiyo video.View attachment 3169704
Sijui kwanini narusha video inatokea still pic.Mbona haonekani hapo mkuuu!
Ikikubali nitakurushia ila imenigomea hapa hata pm sidhan kama itakubaliNaiomba pm hiyo video mkuu?🙏🏼
Ulivyo mwehu umegeuza camera alivyoingia 🤣🤣 una utotoAngalia video mpaka mwisho
View attachment 3169824
Ameifuta jirani ila kaituma tena kwa hapo chini iangalie tenaMbona mi siioni hiyo video jirani.
Loimata hii hapaAngalia video mpaka mwisho
View attachment 3169824
Wewe umri bado, mara ya mwisho yule mzee nilikutana nae kavuta Toyota Hilux ya 2021 kila muda anataka asafiri na miwani yake akiwa kwenye foleni anapiga Ress na honi nyingi anaona anacheleweshwa.Hahaha......... shukrani Mkuu
Bila kuchat chat humu, Mzee wenu upweke unaweza kuniua 🤗
Hamisa tu ndo hajaandikwa 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Habari wakuu.
Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllah🙏🏼.
Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.
Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.
Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yao😀😀
Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.
Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirisha😀😀😀
Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuu🙃⬇️⬇️View attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3169844