Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah wapo wengi sana tu jiraniHivi hapa kunaweza kuwa na watu wa huo umri kweli?
Yeye mwenyewe alisema alijiunga alivyokuwa teenager 😃 dogo huyoUkute babu yako huyo unamuita dogo mtu yuko hapa toka 2010🏃😁
🤣🤣🤣Mama mtumishi 🙆🏾♂️🙆🏾♂️🙆🏾♂️🙆🏾♂️😆
🤣🤣🤣 Noma sn😁😀 yupo.
Niliweka picha nikaifuta bahati mbayaView attachment 3170605
😀😎😎Hata mimi sijaona mtu wakati anafungua mlango alifanya kuikwepesha camera iangalie pembeni itakuwa ni demu wake labda 🤣
Nifundishwe kutongoza na demu?Kama kweli itakua sio demu wa JF sbb si juzi tu alikua anafundishwa na Kalpana jinsi ya kutongaza humu🤓😬🍁
Hivi mkuu PSL god unaweza kuoa mpare?😆Kwanini mkuu😟
Hawezi kumjua!Hili swali umeuliza mara 2 jirani😃
Au unamjua alokua nae nini😬?
Kijana mbona unanidadisi sana?Mmekesha mmeunganisha vikojoleo 😃😃 usitufiche mkuu!