Yeah wapo wengi sana tu jiraniHivi hapa kunaweza kuwa na watu wa huo umri kweli?
Yeye mwenyewe alisema alijiunga alivyokuwa teenager π dogo huyoUkute babu yako huyo unamuita dogo mtu yuko hapa toka 2010ππ
π€£π€£π€£Mama mtumishi ππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈπ
π€£π€£π€£ Noma snππ yupo.
Niliweka picha nikaifuta bahati mbayaView attachment 3170605
πππHata mimi sijaona mtu wakati anafungua mlango alifanya kuikwepesha camera iangalie pembeni itakuwa ni demu wake labda π€£
Nifundishwe kutongoza na demu?Kama kweli itakua sio demu wa JF sbb si juzi tu alikua anafundishwa na Kalpana jinsi ya kutongaza humuπ€π¬π
Hivi mkuu PSL god unaweza kuoa mpare?πKwanini mkuuπ
Hawezi kumjua!Hili swali umeuliza mara 2 jiraniπ
Au unamjua alokua nae niniπ¬?
Kijana mbona unanidadisi sana?Mmekesha mmeunganisha vikojoleo ππ usitufiche mkuu!