Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Hongera sana

Shida yangu ni makelele…. Siku hizi guest, restaurants vyote vimekua na makelele Kama bar tu

Kitu kibaya sana
Nimeenda hapo mara 2 mkuu na mara zote sikuwahi kusikia mziki wa makelele.
Pana utulivu sana na mara ya kwanza kufika hapo nilikuta wachina wamekaa wanafnya kazi zao kwenye laptops.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…