TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Hongera sanaNb: picha nilipiga kwa kujiiba ndo mana sio nzuri na sijaweza kupiga vyumba vyote
NB;Video hapo chini ni kwa hisani ya mwana JF aliyeenda alafaya
View attachment 3169817
Shida yangu ni makelele…. Siku hizi guest, restaurants vyote vimekua na makelele Kama bar tu
Kitu kibaya sana