Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Inashangaza.
Sijui kwanini Hapa JF wapare na singo maza ni kama wakoma
Singo maza wengi ni wapare
Wanawake wachawi wengi ni wapare.
Maharage ya mbea wengi wapare.
Wanawake wachoyo wengi wapare.
Wanawake wa kipare ni shida 😎
 
Unakuwa na hela lakini una Utoto
Huyu jamaa mtoa mada bado hajakomaa kibiashara,badala ya kufanya mchanganuo wa kibiashara na kujua atazikabili vipi changamoto za kibiashara yeye anafurahia majina.
Sasa hapo najiuliza hayo majina ya vyumba yana impact gani kwenye muktadha wa biashara?
Kwamba hata lodge yake ikiwa pachafu na huduma mbovu wateja watakuja kwa sababu kaandika hayo majina ya vyumba ama?mbona haina mantiki yoyote
 
Mimi ndo "jamaa" niloandika uzi ila sio mmiliki mkuu.

Hata hivyo mkuu unahisi kuna mtu ataanzisha biashara asizingatie hayo uliyosema.

Nimefika kwenye hiyo Lodge mara 2.Ni wasafi mnooo.Vyumba visafii,vimepoaaa vina hewa safii.Mashuka na taulo ni mazuri na masafiii.
Trust me.Wako vizuri
 
Sawa kuwa makini usikurupuke baadae ukaja kuandika uzi mwingine wa masikitiko.
Biashara zina figisu nyingi inahitaji ujipange sana,hasa hasa hizo biashara za intertainment huwa haziko long run unaanzisha leo wateja wanajaa baada ya mwaka mmoja wanapotea wanaenda kwenye kiwanja kipya
 
 
Lodge ya Dimond?
 
Ni kweli wakiboronga tutawasema hapa kama tunavyowasifia.

So far wateja anao na hata wakimkimbia yule sio kapuku mwenzetu.Nasikia ana nyumba 8 za maana kapangisha watu wa UN na viwanja mtoni kijichi na nyingine kigamboni na Mbezi.
Figisu wanafanya wafanyabiashara wenye marejesho benki,wako desparate wasio na vipato vingine.
Na wengine ukiwafanyia figisu wanajifanya wajinga hlf unapigwa na kitu hata hizo hela unazofanyia rafu unashindwa kuzila.Usimuone kobe kainama mkuu..😁😀.
Watu sio wajinga mkuu.😀😁
Watu sio wanyonge mkuu😃😬
Ukiona unamfanyia mtu michezo michafu kwenye biashara yake hlf yeye ka mute tu TAFAKARI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…