Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Unajua we dogo, ila basi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua we dogo, ila basi..
He is cool ila ongea na jirani zangu kina father-xmas na PSL god wakikubali aje tuTafadhali usimuache Extrovert 😂
Singo maza wengi ni wapareInashangaza.
Sijui kwanini Hapa JF wapare na singo maza ni kama wakoma
Hapo juu kunaongelewa nini dogo?
Kwangu bora wa kichaga wa kipare ni shida🤔Hata wanawake wa kichaga pia wanapondwa sana bora wapare jirani
Kwichi kwichiWatu wanaalikana kwenye nin?
Hahaha kwani ni ww jirani!Kama hivyo nenden tu wenyewe
Huyu jamaa mtoa mada bado hajakomaa kibiashara,badala ya kufanya mchanganuo wa kibiashara na kujua atazikabili vipi changamoto za kibiashara yeye anafurahia majina.Unakuwa na hela lakini una Utoto
Vingine tunatania jirani usichukulie serious kila kitu 😐😐Nimeokoka nampenda Yesu suwezi kushiriki hayo mambo mnayoakikana jirani.
Mimi ndo "jamaa" niloandika uzi ila sio mmiliki mkuu.Huyu jamaa mtoa mada bado hajakomaa kibiashara,badala ya kufanya mchanganuo wa kibiashara na kujua atazikabili vipi changamoto za kibiashara yeye anafurahia majina.
Sasa hapo najiuliza hayo majina ya vyumba yana impact gani kwenye muktadha wa biashara?
Kwamba hata lodge yake ikiwa pachafu na huduma mbovu wateja watakuja kwa sababu kaandika hayo majina ya vyumba ama?mbona haina mantiki yoyote
Sawa kuwa makini usikurupuke baadae ukaja kuandika uzi mwingine wa masikitiko.Mimi ndo "jamaa" niloandika uzi ila sio mmiliki mkuu.
Hata hivyo mkuu unahisi kuna mtu ataanzisha biashara asizingatie hayo uliyosema.
Nimefika kwenye hiyo Lodge mara 2.Ni wasafi mnooo.Vyumba visafii,vimepoaaa vina hewa safii.Mashuka na taulo ni mazuri na masafiii.
Trust me.Wako vizuri
Huyu jamaa mtoa mada bado hajakomaa kibiashara,badala ya kufanya mchanganuo wa kibiashara na kujua atazikabili vipi changamoto za kibiashara yeye anafurahia majina.
Sasa hapo najiuliza hayo majina ya vyumba yana impact gani kwenye muktadha wa biashara?
Kwamba hata lodge yake ikiwa pachafu na huduma mbovu wateja watakuja kwa sababu kaandika hayo majina ya vyumba ama?mbona haina mantiki yoyote
Lodge ya Dimond?Habari wakuu.
Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllah🙏🏼.
Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.
Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.
Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yao😀😀
Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.
Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirisha😀😀😀
Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuu🙃⬇️⬇️View attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3169844View attachment 3170610View attachment 3170611
Ni kweli wakiboronga tutawasema hapa kama tunavyowasifia.Sawa kuwa makini usikurupuke baadae ukaja kuandika uzi mwingine wa masikitiko.
Biashara zina figisu nyingi inahitaji ujipange sana,hasa hasa hizo biashara za intertainment huwa haziko long run unaanzisha leo wateja wanajaa baada ya mwaka mmoja wanapotea wanaenda kwenye kiwanja kipya