Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Siku naongea na mwenye lodge ile alinihadithia kuwa kuna wenye Lodge wanamfanyia michezo michafu ikiwa ni pamoja na kuchana mabqngo yake na akasema anawajua wanaofanya hivyo na aliapa kulipiza kwa style anayoijua yeye🤔🤔
Yeah ndio hivyo,biashara za kisanii huwa zinapelekwa kisanii kisanii kama huziwezi hizo figisu bora ukae nazo mbali kabisa
 
Unaonekana na wewe una lodge jirani na hao na maandishi yako yamejaa wivu na woga sbb alafaya ndio Lodge nzuri kuliko zote huko mkuranga.

Kusema ni pachafu na huduma mbovu ni eidha hujafika ukaona palivyo pasafi,wivu,chuki woga au vyote kwa pamoja.

Kama hayo majina yamewapa hadi promo za bure hapa JF,X,fb na insta yana mantiki
 
Mbona kama vitisho mkuu?

Wateja huwa wanarudigi kwenye viwanja vyao vya zamani wakiona kwa zamani ni pazuri zaidi.
 
Yeah ndio hivyo,biashara za kisanii huwa zinapelekwa kisanii kisanii kama huziwezi l
😀😀
 
Mbona kama vitisho mkuu?

Wateja huwa wanarudigi kwenye viwanja vyao vya zamani wakiona kwa zamani ni pazuri zaidi.
😀😀
Wanakuja leo wakiona kiwanja kipya hakina jipya wanarudi machimbo yao ya zamani
 
Sijawahi kujihusisha na biashara za lodge na wala sitawahi nilikuwa nampa tahadhari tu kutokana na general observation zangu kuhusu biashara mbalimbali,mtoa mada mwenyewe alishanielewa nilichokuwa namaanisha na mwenyewe amenipa mifano sasa sijajua sijui unaforce uchawa kwa jamaa maana naona umenikomalia kuniquote kwenye comments zangu 4 ili mradi uonekane
 
Bila shaka we ni Veronica france
 
Nawaona kule mnapanga vacay kibaguzi na mie ni king'ang'a sikubali kuachwaaa😀😃😜

Tukataliini Vikindu ECOFOREST
then tukichoka tunaenda zetu kulala hapo Alafaya.😃.
Japo lastborn Lamomy kazoea 8star hotels tunakalazimisha😜
Missy Gf Joannah
na bestie angu mzabzab 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…