Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ndio hivyo,biashara za kisanii huwa zinapelekwa kisanii kisanii kama huziwezi hizo figisu bora ukae nazo mbali kabisaSiku naongea na mwenye lodge ile alinihadithia kuwa kuna wenye Lodge wanamfanyia michezo michafu ikiwa ni pamoja na kuchana mabqngo yake na akasema anawajua wanaofanya hivyo na aliapa kulipiza kwa style anayoijua yeye🤔🤔
Unaonekana na wewe una lodge jirani na hao na maandishi yako yamejaa wivu na woga sbb alafaya ndio Lodge nzuri kuliko zote huko mkuranga.Huyu jamaa mtoa mada bado hajakomaa kibiashara,badala ya kufanya mchanganuo wa kibiashara na kujua atazikabili vipi changamoto za kibiashara yeye anafurahia majina.
Sasa hapo najiuliza hayo majina ya vyumba yana impact gani kwenye muktadha wa biashara?
Kwamba hata lodge yake ikiwa pachafu na huduma mbovu wateja watakuja kwa sababu kaandika hayo majina ya vyumba ama?mbona haina mantiki yoyote
Mbona kama vitisho mkuu?Sawa kuwa makini usikurupuke baadae ukaja kuandika uzi mwingine wa masikitiko.
Biashara zina figisu nyingi inahitaji ujipange sana,hasa hasa hizo biashara za intertainment huwa haziko long run unaanzisha leo wateja wanajaa baada ya mwaka mmoja wanapotea wanaenda kwenye kiwanja kipya
Unaambia watu wakae mbali na biashara zao ukiwa kama nani?Yeah ndio hivyo,biashara za kisanii huwa zinapelekwa kisanii kisanii kama huziwezi hizo figisu bora ukae nazo mbali kabisa
Nimeokoka nampenda Yesu suwezi kushiriki hayo mambo mnayoakikana jirani.
Sasa sisi wenyewe tuende tukafanyaje?😃 PSL godKama hivyo nenden tu wenyewe
Kwichi tour sio!?😀Kwichi kwichi
Yeah ndio hivyo,biashara za kisanii huwa zinapelekwa kisanii kisanii kama huziwezi l
😀😀Unaonekana na wewe una lodge jirani na hao na maandishi yako yamejaa wivu na woga sbb alafaya ndio Lodge nzuri kuliko zote huko mkuranga.
Kusema ni pachafu na huduma mbovu ni eidha hujafika ukaona palivyo pasafi,wivu,chuki woga au vyote kwa pamoja.
Kama hayo majina yamewapa hadi promo za bure hapa JF,X,fb na insta yana mantiki
Sijawahi kujihusisha na biashara za lodge na wala sitawahi nilikuwa nampa tahadhari tu kutokana na general observation zangu kuhusu biashara mbalimbali,mtoa mada mwenyewe alishanielewa nilichokuwa namaanisha na mwenyewe amenipa mifano sasa sijajua sijui unaforce uchawa kwa jamaa maana naona umenikomalia kuniquote kwenye comments zangu 4 ili mradi uonekaneUnaonekana na wewe una lodge jirani na hao na maandishi yako yamejaa wivu na woga sbb alafaya ndio Lodge nzuri kuliko zote huko mkuranga.
Kusema ni pachafu na huduma mbovu ni eidha hujafika ukaona palivyo pasafi,wivu,chuki woga au vyote kwa pamoja.
Kama hayo majina yamewapa hadi promo za bure hapa JF,X,fb na insta yana mantiki
Dada gani huyo?wa wapi?mbona unaongea kama mtu aliyekurupuka kutoka usingiziniUnaambia watu wakae mbali na biashara zao ukiwa kama nani?
Ulimtongoza yule dada akakutakaa bisha😃
Bila shaka we ni Veronica franceHabari wakuu.
Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllah🙏🏼.
Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.
Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.
Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yao😀😀
Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.
Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirisha😀😀😀
Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuu🙃⬇️⬇️View attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3169844View attachment 3170610View attachment 3170611