Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Mtumishi Joannah Lamomy niko hapa alafaya toka jana shem wenu alisema nitangulie leo angekuja lkn nashangaa mpaka saa hii hapokei simu,hajibu text,whozap anani blue tick tu sijui nifanyaje na mimi sina hela njoen mnigomboe mlinzi kanambia nifue mashuka au niongee nae vizuri🙃🙃
E2312EDF-68B7-43B1-8CAF-4FE6338D798E.jpeg
 
baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Kama wameyasajili kama majina ya kampuni au biashara. Ndio maana Diamond anajiita Dangote lakini hatumii kama brand name
 
Back
Top Bottom