Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Huyo Martha hayuko sawa kisaikolojia hata mama yake kasema ilo huo upuuzi haiwezi kunoga kuliko dushe.
Mi itabidi nijaribu nione km kweli, wengine kina Tomaso hatuamini mpk tushike 😹😹

Yani mpk ndoa kavunja kisa kugusanisha vibeans.!! Awww lazima nijaribu 🤣🤣
 
😹😹😹 shemeji tumchinje xmass sis.!

Waambie wakupe lipa namba au bank account tulipe asitutie aibu.!! 🤣
Nimecheka hapo kwa Zari halafu Diamond wako kakumbia lol.!! 😹
😀😀😀
Acha tu kwenye pochi nina vitendea kazi tu yaani wanja na lipstic tu.Nakutumia no soon
 
Mi itabidi nijaribu nione km kweli, wengine kina Tomaso hatuamini mpk tushike 😹😹

Yani mpk ndoa kavunja kisa kugusanisha vibeans.!! Awww lazima nijaribu 🤣🤣
Nimekugongea dislike kwa mara ya kwanza leo😭😭

Kyeleuwiiiiiiiiii uwiiiiiii please dont try that mdogo wangu kipenzi🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Uwiiiii .
Joannah kuna kikao cha dharura usiku huu popote ulipo
 
Nakuzingua bana na shemeji yako namuachia nani kwa mfano?? 😹😹😹

Kumbe unanipenda 🤣
Aiseee siwezi sis hata kujaribu sifikirii bana.!
Kuwa na amani
 
Umenirusha roho nimejisikia vibaya ila pia nilihisi unanizingua ulivyo mrembo kisa gani ufanye huo uchafu
 
😹😹🤣🤣
Bado hujanizoea sis? Mi mtu wa masihara wala sikumaanisha..!!

Wanaume walivyo watamu dada, tena km huyu shem wako Awwww.!!
Kuna muda mpk natamani nimpigie simu mama mkwe nimshukuru kwa kutomeza P2 🤣😹😹
 
Back
Top Bottom