Kwann uongeleeInteresting kwamba umeona hapo tu
Hao ni wale wa uswahilini nawaongelea wale rich mimi!Vipi yale malesbians yalokomaa kama maroboti
Hamfikii huyo joan joan ana sura tamu mpaka rahaaHata Martha ni mrembo sana
Na Harmonize anajiita Bakhtesa na hawezi kushitakiwaKama wameyasajili kama majina ya kampuni au biashara. Ndio maana Diamond anajiita Dangote lakini hatumii kama brand name
Siku hizi ameachaHarmonize anajiita Bakhtesa
Navipenda viharage ndo maana ππVIBEANS
Unapenda kudharau wakubwa zako πNiache we mtoto
Mi itabidi nijaribu nione km kweli, wengine kina Tomaso hatuamini mpk tushike πΉπΉHuyo Martha hayuko sawa kisaikolojia hata mama yake kasema ilo huo upuuzi haiwezi kunoga kuliko dushe.
KumbeSiku hizi ameacha
Better than pleatsNavipenda viharage ndo maana ππ
ππππΉπΉπΉ shemeji tumchinje xmass sis.!
Waambie wakupe lipa namba au bank account tulipe asitutie aibu.!! π€£
Nimecheka hapo kwa Zari halafu Diamond wako kakumbia lol.!! πΉ
Nimekugongea dislike kwa mara ya kwanza leoππMi itabidi nijaribu nione km kweli, wengine kina Tomaso hatuamini mpk tushike πΉπΉ
Yani mpk ndoa kavunja kisa kugusanisha vibeans.!! Awww lazima nijaribu π€£π€£
πΉπΉπΉπππ
Acha tu kwenye pochi nina vitendea kazi tu yaani wanja na lipstic tu.Nakutumia no soon
Nakuzingua bana na shemeji yako namuachia nani kwa mfano?? πΉπΉπΉNimekugongea dislike kwa mara ya kwanza leoππ
Kyeleuwiiiiiiiiii uwiiiiiii please dont try that mdogo wangu kipenziππΌππΌππΌππΌ
Uwiiiii .
Joannah kuna kikao cha dharura usiku huu popote ulipo
Umenirusha roho nimejisikia vibaya ila pia nilihisi unanizingua ulivyo mrembo kisa gani ufanye huo uchafuNakuzingua bana na shemeji yako namuachia nani kwa mfano?? πΉπΉπΉ
Kumbe unanipenda π€£
Aiseee siwezi sis hata kujaribu sifikirii bana.!
Kuwa na amani
πΉπΉπ€£π€£Umenirusha roho nimejisikia vibaya ila pia nilihisi unanizingua ulivyo mrembo kisa gani ufanye huo uchafu