Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Habari wakuu.

Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllah[emoji1374].

Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.

Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.

Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yao[emoji3][emoji3]

Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.

Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirisha[emoji3][emoji3][emoji3]

Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuu[emoji854][emoji3596][emoji3596]View attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3169844View attachment 3170610View attachment 3170611View attachment 3180337View attachment 3180340View attachment 3180335View attachment 3180346View attachment 3180347
Ni Ma-Ex wa Mondi tu!!!
 
Mi-thed weld dwellers bana mnawazaga na kuendekeza starehe na anasa tu. Badala ungeenda maporini huko ukafanye research ya kilimo ili food security nchini iwe steady.

Mmebakia ku-focus tu kwenye utopolo.

Nyau de adriz
Mtu anataka kufungua Lodge then aende porini kufanya research ya kilimo!!!?? Umelewa au hujasoma uzi?
 
Usiwaze vibaya jirani Pridah 🤗 ni mtoto wangu tuna undugu wa muda mrefu kabla hata hatujajiunga JF 😁
Mi nilimuheshimu 😏sana siku alivyoandika kuwa yeye ni singo maza anayempenda baba watoto wake!😂😂😂😂😂😂
Si unajua da Pridah ni singo maza ee🤣
 
Mi nilimuheshimu 😏sana siku alivyoandika kuwa yeye ni singo maza anayempenda baba watoto wake!😂😂😂😂😂😂
Si unajua da Pridah ni singo maza ee🤣
Muache mtoto wangu puliiz jirani
 
Hujuagi huyo mdogo wako Lamomy ni mwehu?yeye anaropokaga tu sifui hafikirii shemeji akiona sie wenzie tunaweka wapi sura zetu🫣🫣anatufanya dada zake tuonekane hamnazo😂
😹😹😹
Nisameheni, ndo mdogo wenu tena mtafanyaje na kunigawa hamuwezi 🤣
 
Wacha weee naona mambo bull bull!!watenda kazi katika shamba la bwana na wachunga kondoo😂😂😂😂😂😂 Lamomy kumekucha huku safari ya VIKINDU ECOFOREST utaachwa
Jamani puliiizzz musiniwache hapa nishajiandaa mnipe meeting point tuanze safari 😍😍
 
Back
Top Bottom