Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

🀣🀣weee labda familia yake hatupo ni simu moja tu boss mtoto Lamomy ataomba lipa number case closed...ndugu yetu Pridah ni mtumishi hatuwezi ruhusu fedheha , sisi familia yetu haina visa vya kina Mwaipaja sisi tunabebeana misalaba
Kabisa πŸ˜‚
Familia yetu haiwezi kudhalilika kizembe..!!
 
Merry Xmas mdogo wangu kipenzi...Fikisha salamu kwa my one and only shemeji mwamba wa kaskazini Countrywide
Na kwako pia dada yangu kipenzi 😍
Nishatangulia vikindu huku mtanikuta nipo room ya Zuchu 🀣

Wewe nimekuchukulia ya Misa utakuwa karibu na da Pridah yuko Zari room 😹😹
 
Na kwako pia dada yangu kipenzi 😍
Nishatangulia vikindu huku mtanikuta nipo room ya Zuchu 🀣

Wewe nimekuchukulia ya Misa utakuwa karibu na da Pridah yuko Zari room 😹😹
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwa hii ramani mbona kama mteja mbobevu dogoπŸ˜€πŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈ
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwa hii ramani mbona kama mteja mbobevu dogoπŸ˜€πŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈ
Kapatia sana aiseeπŸ˜€
 
Back
Top Bottom