Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Ni Ma-Ex wa Mondi tu!!!
 
Mi-thed weld dwellers bana mnawazaga na kuendekeza starehe na anasa tu. Badala ungeenda maporini huko ukafanye research ya kilimo ili food security nchini iwe steady.

Mmebakia ku-focus tu kwenye utopolo.

Nyau de adriz
Mtu anataka kufungua Lodge then aende porini kufanya research ya kilimo!!!?? Umelewa au hujasoma uzi?
 
Usiwaze vibaya jirani Pridah ๐Ÿค— ni mtoto wangu tuna undugu wa muda mrefu kabla hata hatujajiunga JF ๐Ÿ˜
Mi nilimuheshimu ๐Ÿ˜sana siku alivyoandika kuwa yeye ni singo maza anayempenda baba watoto wake!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Si unajua da Pridah ni singo maza ee๐Ÿคฃ
 
Mi nilimuheshimu ๐Ÿ˜sana siku alivyoandika kuwa yeye ni singo maza anayempenda baba watoto wake!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Si unajua da Pridah ni singo maza ee๐Ÿคฃ
Muache mtoto wangu puliiz jirani
 
Mi nilimuheshimu ๐Ÿ˜sana siku alivyoandika kuwa yeye ni singo maza anayempenda baba watoto wake!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Si unajua da Pridah ni singo maza ee๐Ÿคฃ
Interesting๐Ÿคญ
 
Hujuagi huyo mdogo wako Lamomy ni mwehu?yeye anaropokaga tu sifui hafikirii shemeji akiona sie wenzie tunaweka wapi sura zetu๐Ÿซฃ๐Ÿซฃanatufanya dada zake tuonekane hamnazo๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nisameheni, ndo mdogo wenu tena mtafanyaje na kunigawa hamuwezi ๐Ÿคฃ
 
Wacha weee naona mambo bull bull!!watenda kazi katika shamba la bwana na wachunga kondoo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Lamomy kumekucha huku safari ya VIKINDU ECOFOREST utaachwa
Jamani puliiizzz musiniwache hapa nishajiandaa mnipe meeting point tuanze safari ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ