Kwa vile mie sio mwenyeji huko sitakubishia mkuu ila kwa zote kubwa kubwa nilizotembelea huko hiyo Alafaya iko classic sana halafu ina touch za kiulaya ulaya flani hiviSi kweli kuwa kwa Wilaya nzima ya Mkuranga hakuna lodge classic kama Alafaya.
Zipo ila kwa sababu za kibiashara,sitapenda kuzitaja.
Tulia wewee!!Mi-thed weld dwellers bana mnawazaga na kuendekeza starehe na anasa tu. Badala ungeenda maporini huko ukafanye research ya kilimo ili food security nchini iwe steady.
Mmebakia ku-focus tu kwenye utopolo.
Nyau de adriz
Duuh basi nikajua hizo ni pigo za guest kunguni mkuu kumbe ni danguro high class?!Hukuona baadhi ya guest watu walikamatwa ubungo?
Yan hizi chimbo ninesoma mchezo pale chalinze ni guest ya madereva wa malori. Na bei yake imesimama, sio danguro uchwara.
Hatari sana
Hahaha muajemi Hamas wa JFTulia wewee!!
Mbona ninyi waMongoli mliendekeza poachering na banditry badala ya trade!?
Ya grahams mkuu ni typing errorYangu kivipi mkuu wakati umemuita Mr. Grahams ndo nikahisi labda ni yake
Una fujo sana kitukuu cha Kublai Khan.Hahaha muajemi Hamas wa JF
Oh trust me. Yani ni mbinu ya kuwapata watu, kuna majumba sinza tu hapo, yani huwezi jua kama ndani ni bsr. Na kuna waudumu wako half naked, hii bongo kuna watu wana udhungu mwingiDuuh basi nikajua hizo ni pigo za guest kunguni mkuu kumbe ni danguro high class?!
Ila sijui kwa vile mie ni mwanamke sbb nikifungua yangu sitakua na amani kabisa kuendesha biashara ambayo wanawake wenzangu wanajiuza ili nipate kipato, sitataka kabisa wahudumu wangu wajiuze kwa wateja.
Natamani iwe sehemu mtu anakuja anahudumiwa na wadada wanyenyekevu waliovaa kiheshima walokole
Umeona eeh!Kumbe Familia moja inaweza kutoa majina ya vyumba vya Lodge na vikatosha kabisa.
Okay.Oh trust me. Yani ni mbinu ya kuwapata watu, kuna majumba sinza tu hapo, yani huwezi jua kama ndani ni bsr. Na kuna waudumu wako half naked, hii bongo kuna watu wana udhungu mwingi
Sasa hujaona hata wanamziki, wanawake hawajui kuvaa kistaarabu? Ila wanaume wanacaa vizuri sana. Hao wanaojiuza wametaka wenyew
Grahams nazani unaona jinsi gani vijana wanajaribu ku brand biashara yako mkuuAnipe japo ya maji hii ni kama promo nimemfanyia mkuu๐๐๐ผ