Loimata
JF-Expert Member
- Dec 1, 2022
- 749
- 1,741
- Thread starter
- #121
Kwa vile mie sio mwenyeji huko sitakubishia mkuu ila kwa zote kubwa kubwa nilizotembelea huko hiyo Alafaya iko classic sana halafu ina touch za kiulaya ulaya flani hiviSi kweli kuwa kwa Wilaya nzima ya Mkuranga hakuna lodge classic kama Alafaya.
Zipo ila kwa sababu za kibiashara,sitapenda kuzitaja.