Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Si kweli kuwa kwa Wilaya nzima ya Mkuranga hakuna lodge classic kama Alafaya.

Zipo ila kwa sababu za kibiashara,sitapenda kuzitaja.
Kwa vile mie sio mwenyeji huko sitakubishia mkuu ila kwa zote kubwa kubwa nilizotembelea huko hiyo Alafaya iko classic sana halafu ina touch za kiulaya ulaya flani hivi
 
Mi-thed weld dwellers bana mnawazaga na kuendekeza starehe na anasa tu. Badala ungeenda maporini huko ukafanye research ya kilimo ili food security nchini iwe steady.

Mmebakia ku-focus tu kwenye utopolo.

Nyau de adriz
Tulia wewee!!
Mbona ninyi waMongoli mliendekeza poachering na banditry badala ya trade!?
 
Hukuona baadhi ya guest watu walikamatwa ubungo?

Yan hizi chimbo ninesoma mchezo pale chalinze ni guest ya madereva wa malori. Na bei yake imesimama, sio danguro uchwara.
Duuh basi nikajua hizo ni pigo za guest kunguni mkuu kumbe ni danguro high class?!
Ila sijui kwa vile mie ni mwanamke sbb nikifungua yangu sitakua na amani kabisa kuendesha biashara ambayo wanawake wenzangu wanajiuza ili nipate kipato, sitataka kabisa wahudumu wangu wajiuze kwa wateja.
Natamani iwe sehemu mtu anakuja anahudumiwa na wadada wanyenyekevu waliovaa kiheshima walokole
 
Oh trust me. Yani ni mbinu ya kuwapata watu, kuna majumba sinza tu hapo, yani huwezi jua kama ndani ni bsr. Na kuna waudumu wako half naked, hii bongo kuna watu wana udhungu mwingi

Sasa hujaona hata wanamziki, wanawake hawajui kuvaa kistaarabu? Ila wanaume wanacaa vizuri sana. Hao wanaojiuza wametaka wenyew
 
Okay.

Kweli uzungu mwingi mkuu

Kwa hiyo unataka kunambia hata huduma zote zikiwa nzuri kiasi gani ila wadada wakivaa kiheshima sitapata wateja mkuu?
 
Back
Top Bottom