Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Bonge la Idea mkuu,
Hapo mkataba unakua ni kuja kuhudumu pamoja na kutangaza kwenye page zao kabla na baada
 
Karibu mkuuπŸ™

Mimi bado nina mengi ya kujifunza kutoka kwenu ndugu zangu mlotangulia so ikikupemda nimegee siri mbilo tatu mkuuπŸ™πŸ™

Mwakani na mimi natarajia kufungua yangu,
Vitu muhimu vya kuvipa umuhimu ni Usafi, Customer service, kuhakikisha huduma za Chakula na Vinywaji vinapatikana jirani.

Kuna wateja wakiingia ndani huwa hawapendi kutoka nje, hivyo muhimu hizo huduma ziwe zinapatikana kiurahisi

Kupiga marufuku short-time, ikifanyika usiuze tena Chumba hadi kesho yake baada ya Usafi kufanyika

Boresha Kwa kuwa na Lipa namba kwaajili ya wateja walio na fedha kwenye simu n.k
 
Sawa mkuu nimekupata,
Nitazingatia.
Barikiwa sana mkuuπŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…