Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuu🙏Shukrani sana Mkuu, nimepata mawili matatu kwaajili ya kujifunza
Wanasema biashara lazima kuwa mbunifu
Bonge la Idea mkuu,Nimeona Mkuu, Kwa kweli nimejifunza kitu.
Nafikiri Siku Moja nitamweka Mapokezi Wema Sepetu ama Hamisa kwaajili ya Kuwavutia wateja wangu.
Najua wateja wangu wakihudumiwa hata matauro tu na hao watu japo Kwa Siku moja, wataenda kuhadithiana hivyo kuzidi kuja wengi Kulala kwangu 🤗
Vitu muhimu vya kuvipa umuhimu ni Usafi, Customer service, kuhakikisha huduma za Chakula na Vinywaji vinapatikana jirani.Karibu mkuu🙏
Mimi bado nina mengi ya kujifunza kutoka kwenu ndugu zangu mlotangulia so ikikupemda nimegee siri mbilo tatu mkuu🙏🙏
Mwakani na mimi natarajia kufungua yangu,
Sahihi kabisa, uzuri wa hao celebrates wengi wanalipwa kawaida sana kufanya hizo kaziBonge la Idea mkuu,
Hapo mkataba unakua ni kuja kuhudumu pamoja na kutangaza kwenye page zao kabla na baada
Kabisa Mkuu, imagine mteja anahudumiwa chai ya asubuhi na Wema.Mambo ya mafantancy 😀
Ubunifu sana kwa kweli
Sawa mkuu nimekupata,Vitu muhimu vya kuvipa umuhimu ni Usafi, Customer service, kuhakikisha huduma za Chakula na Vinywaji vinapatikana jirani.
Kuna wateja wakiingia ndani huwa hawapendi kutoka nje, hivyo muhimu hizo huduma ziwe zinapatikana kiurahisi
Kupiga marufuku short-time, ikifanyika usiuze tena Chumba hadi kesho yake baada ya Usafi kufanyika
Boresha Kwa kuwa na Lipa namba kwaajili ya wateja walio na fedha kwenye simu n.k
Amina Mkuu 🙏Sawa mkuu nimekupata,
Nitazingatia.
Barikiwa sana mkuu🙏🙏
Kabisa MkuuNi kweli mkuu.
Biashara inabidi kuichangamsh changamsha na vitu kama hivyo.
Sahihi kabisa MkuuSana mkuu na hadhi ya sehemu itapanda,
Hakuna shida hapo kwa mfano akina Wema wote wajikusanye kwenda kushitaki au?baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
HahahaNimependa ubunifu wa jamaa, Majina yamekaa ki-romantic
Hata mtu atakayelala peke yake kwenye Chumba cha Hamisa, atahisi amelala naye room 😜
Kuna vijana wahovyo wakiona Vyumba vya hivyo, fasta wanaomba tuwaongeze Sabuni mbili mbiliHahaha
We mzeeeee