Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Nimeona Mkuu, Kwa kweli nimejifunza kitu.

Nafikiri Siku Moja nitamweka Mapokezi Wema Sepetu ama Hamisa kwaajili ya Kuwavutia wateja wangu.

Najua wateja wangu wakihudumiwa hata matauro tu na hao watu japo Kwa Siku moja, wataenda kuhadithiana hivyo kuzidi kuja wengi Kulala kwangu 🤗
Bonge la Idea mkuu,
Hapo mkataba unakua ni kuja kuhudumu pamoja na kutangaza kwenye page zao kabla na baada
 
Karibu mkuu🙏

Mimi bado nina mengi ya kujifunza kutoka kwenu ndugu zangu mlotangulia so ikikupemda nimegee siri mbilo tatu mkuu🙏🙏

Mwakani na mimi natarajia kufungua yangu,
Vitu muhimu vya kuvipa umuhimu ni Usafi, Customer service, kuhakikisha huduma za Chakula na Vinywaji vinapatikana jirani.

Kuna wateja wakiingia ndani huwa hawapendi kutoka nje, hivyo muhimu hizo huduma ziwe zinapatikana kiurahisi

Kupiga marufuku short-time, ikifanyika usiuze tena Chumba hadi kesho yake baada ya Usafi kufanyika

Boresha Kwa kuwa na Lipa namba kwaajili ya wateja walio na fedha kwenye simu n.k
 
Sawa mkuu nimekupata,
Nitazingatia.
Barikiwa sana mkuu🙏🙏
 
Back
Top Bottom