Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja fasta nikajua unaongelea majina ya kwenye kitabu cha wageni!Habari wakuu.
Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllah🙏🏼.
Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.
Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.
Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yao😀😀
Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.
Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirisha😀😀😀
Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuu🙃⬇️⬇️View attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3153889View attachment 3153890
Sorry nilikuwa na mgeniMkuu Gily Gru jibu basi hili swali boss🙏🙏
Watu wameshikana mashati kisa jina la Nyerere 😄 🤣Kiuhalisia ili mtu uweze kutambulika ni lazima majina yote matatu yatakwe ila hilo la jina moja mmmh haina shida
Hakuna MTU duniani mwenye Haki miliki ya jina.Mf Wema au Dianna wako kila Kona duniani.kama utaenda kusajiri jina binafsi basi watakushauri kuwe na jina lifuatalo la ziada lisilo na ukakasi...baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Hao nao ni wehu tu 🤣🤣Watu wameshikana mashati kisa jina la Nyerere 😄 🤣
Nimeona Mkuu, Kwa kweli nimejifunza kitu.Grahams nazani unaona jinsi gani vijana wanajaribu ku brand biashara yako mkuu
Nimependa ubunifu wa jamaa, Majina yamekaa ki-romantic
Jamaa katisha,nkazan kaogopa kwa vile ni kada wa fisiemu na mjane wa taifaIpo mkuu ila sikuweza kupiga picha huo mlango
Kapenda uzinzi wakeNahisi ni fan wa Diamond😀
Worry out mkuuSorry nilikuwa na mgeni
Unamilik guest wapi?
Wateja utapata kwa sababu wanafata huduma, ila kiukweli huwa walinzi wanakaa na number za wanaojiuza ukitaka wanakupa. So sioni tofauti hapo, hata hizi guest za kawaida zina watu silent wanajiuza
Mkuu Gily Gru naomba siri mbili tatu za kufanikiwa ktk hii biashara ili siku nikifungua nisiyumbe🙏🙏Sorry nilikuwa na mgeni
Unamilik guest wapi?
Wateja utapata kwa sababu wanafata huduma, ila kiukweli huwa walinzi wanakaa na number za wanaojiuza ukitaka wanakupa. So sioni tofauti hapo, hata hizi guest za kawaida zina watu silent wanajiuza