Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅
😍😍 Chino wangu.!!
Babu kuna kitu umekisema umenyoosha mule mule 😹Hahaha............kumbe nitegemee kupata Mkwe hivi karibuni.
Mjukuu wangu Lamomy yupo poa kabisa.
Last week alikuwa na safari ya China kufata biashara zake
Hofu yangu, utaweza kumudu gharama za kumpeleka a five star hotel 🤗
Zuchu jina nembo ya kibiashara ya mtu mmoja tu aitwae ZUHURA.Kuna mwenye umiliki na jina!? sioni tatizo
Neema mwasamba sanga😍😍 Chino wangu.!!
Niko mzima, hiyo sehemu ni wapi?
Mungu akufanikishieKaribuni sana my customers to be🙏🏼
Acha nipambane hadi Valentines day iwe tayari.
Nyie nitawaandalia honeymoon suite kabisa
Kwamba amelisajili?Zuchu jina nembo ya kibiashara ya mtu mmoja tu aitwae ZUHURA.
Hayo mengine ni majina ya watu wapo wengi tu mitaani.
Huyo Neema ni rafiki yangu 😭😭Neema mwasamba sanga
Ujue nilikua na kimuhe muhe sana
Kila nikitizama jina la mwisho chino nilikua nakosa pozi
Afu age ndo zile kama zako twententy twenty humo
Hahaha.........kwahiyo nimekuwa mtabiri Babu yako, usisahau kuniletea zawadi ya Kiko tu 🤗Babu kuna kitu umekisema umenyoosha mule mule 😹
Wewe itakuwa mtabiri tambitambi..!!
Mwambie chino anilipie mahari ombi lake LIMEKUBALIWA 😍
Nimejiuliza kitu hicho hicho. What’s the big deal. Sijaona ubunifu wowote.Sasa kipi kimekushangaza hapo
Poleni sanaHuyo Neema ni rafiki yangu 😭😭
Amekufa yeye na mdogo wake, tupo msibani kwao huku tabata barakuda..
😹😹 Chino kuna kitu nimekumbuka hapa nimecheka..Woza woza Grahams mjukuu wako hana makuuu kabisa