Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Ukifungua ntaja kutembea na Lamomy

Ukinionea mjukuu wako huyo nishtulie Grahams hope she is safe
Hahaha............kumbe nitegemee kupata Mkwe hivi karibuni.

Mjukuu wangu Lamomy yupo poa kabisa.

Last week alikuwa na safari ya China kufata biashara zake

Hofu yangu, utaweza kumudu gharama za kumpeleka a five star hotel 🤗
 
Huu ni uchafu ?

1731863323069.png

1731863382650.png
 
Hahaha............kumbe nitegemee kupata Mkwe hivi karibuni.

Mjukuu wangu Lamomy yupo poa kabisa.

Last week alikuwa na safari ya China kufata biashara zake

Hofu yangu, utaweza kumudu gharama za kumpeleka a five star hotel 🤗
Babu kuna kitu umekisema umenyoosha mule mule 😹
Wewe itakuwa mtabiri tambitambi..!!

Mwambie chino anilipie mahari ombi lake LIMEKUBALIWA 😍
 
Babu kuna kitu umekisema umenyoosha mule mule 😹
Wewe itakuwa mtabiri tambitambi..!!

Mwambie chino anilipie mahari ombi lake LIMEKUBALIWA 😍
Hahaha.........kwahiyo nimekuwa mtabiri Babu yako, usisahau kuniletea zawadi ya Kiko tu 🤗

Kapachino najua umepata ujumbe, kazi kwako kufanyia kazi 🤗
 
Woza woza Grahams mjukuu wako hana makuuu kabisa
😹😹 Chino kuna kitu nimekumbuka hapa nimecheka..

Nilikuwa na rafiki yangu mmoja msukuma, sasa si unajua wasukuma wana masihara na utani mwingi, basi yule rafiki yangu tukawa tunataniana tunaitana babe… siku hiyo bana akanitongoza kweli mi nikajua utani unaendelea niko kucheka mpk machozi 🤣 (Najua utani unaendelea) nikaona kawa mkali niache kucheka nimsikilize, basi mimi ndo nazidi kukauka kucheka, ikabidi mpk na yeye azuge aanze kucheka..

Juzi hapa akanitafuta kwenye simu ananipa hi ndio akanikumbusha, akasema hatokuja kufanya utani tena na mwanamke anayempenda 😹😹🤣🤣
Nikamzingua kwa kumuuliza, “ Hivi kumbe kipindi kile ulimaanisha?” Akajibu, hata ss hivi niko serious hukuona first born wangu nilimpa jina lako, mpk wife kamind 😹
 
Back
Top Bottom