PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Mi sio mlafi kama wewe ila tumia akili acha utotoNaona umevimbiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sio mlafi kama wewe ila tumia akili acha utotoNaona umevimbiwa
Nitumie akili gani sasa..kama zako za ku dislike?Mi sio mlafi kama wewe ila tumia akili acha utoto
Muache mtoto.Nimecheka sana, babe endelea tu kumfanya kijana afurahi..yaani salam yako tu dogo amekuwa nafuraha sana! Siku akikuona ukamuonyesha hilo tabasamu atakufa..
Blo fanya jambo hii pisi Kalpana nailewa ila haijibu comment zangu blo☹️😀Thread ya lodge na kesi wapi wapi!?
Wanasimba mna shida sana 🤣🤣🤣🤣
Hamia YANGA nikupe zawadi dadaanguWaNitumie akili gani sasa..kama zako za ku dislike?
Eeeh! 😄😄😄 ESisi humu ni mashangazi kaka...mix sura za baba usije ingia mkenge
Huyo mwanasimba ni Mke wa mtu mkuu tafuta chaka lingine tu.Blo fanya jambo hii pisi Kalpana nailewa ila haijibu comment zangu blo☹️😀
Sasa mrembo mimi kutaka kununulia soda sbb nimependa tabia yako ndo hadi umuite blo Elon kweli?🤣🤣🤣🤣
ERoni Noo umjibu babe
Kwa utongozaji huu hutapata wachuchu humu pole 🤣🤣Sasa mrembo mimi kutaka kununulia soda sbb nimependa tabia yako ndo hadi umuite blo Elon kweli?
Usinigombanishe na blo banaila anytime ukiihitaji soda yako njoo Pm😜
Muache Kalpana ajibu mwenyewe
Mods hawapendi hizo kama unavyoziweka wewe kama njugu unnecessarily wanakupa ban chap...Daah ndo umekasirika hivyo!
Basi nisamehe mimi nilikua natania tu 😄😄😄
I'm sorry
Pole sana.Wee PSL god acha ujinga na hizo dislike unachafua page labda kama unataka ban..kuanzia leo usinifate kwny comments zangu maana naona huu ni utoto sasa...
Kama ni kweli hujakasirika Nimefurahi 🤗🤗Sijakarika bana
Ni kweli mimi mke wa mtu blo....Muache Kalpana ajibu mwenyewe