father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Premium chick mkuu na nilipanga kumpa fancy life ila tamaa zimemponzaAlikua mzuri au wa kawaida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Premium chick mkuu na nilipanga kumpa fancy life ila tamaa zimemponzaAlikua mzuri au wa kawaida?
Premium chick mkuu na nilipanga kumpa fancy life ila tamaa zimemponzaAlikua mzuri au wa kawaida?
Duuh!Labda Wazee wenzangu, ila Mimi sina bahati
Ni juzi tu baridi kidogo liniondoe 🙌
Ngoja awe single mqza ila wanawake Mungu anawaona wapo tiyari kudate hadi na babu zao ilimradi tu pesa ipo!Premium chick mkuu na nilipanga kumpa fancy life ila tamaa zimemponza
Hahaha..........mafao bado yapo, shida ni hawa mabinti wa miaka hii kushindwa kujua kwamba Wazee hatuna nguvu za kurudia safari zaidi ya mara mojaDuuh!
Pole sana!
Au mafao yashakata!?😀
Wala hata nilitaka kujua tu si unajua jirani yako napenda pisi kali 😇😌😌😌 vibungo wanipite kushoto 😎Unataka kupokea kijiti jirani?
Wengi wa sikuizi wanatamaa jiraniSio wote tuna tamas
Bei zake zikojeKaribu tena
Yes!So you have your own money faza?😀